Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,993
- 94,015
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa cancelled?
Ukiacha hilo, wasafiri wengine wapo stranded viwanja vya karibu kama KIA na JKINA wakisubiri hatma ya kufika Dar es Salaam.
Huku tetesi zilizopo zikiwa ubovu/hitilafu ya miundombinu kwenye runway, je ni kweli na kama ni kweli kwa nini iwe jana na leo na sio siku nyingine?
Je terminal 3 haina runway zaidi ya moja kwa ndege kubwa?
Hii picha chini ni status ya flight # KL0569 (KLM) ambayo jana ilishindwa kufika JNIA (Dar), hivyo ikabaki JRO (KIA) hadi sasa ikisubiri kwenda Dar kushusha abiria na kuchukua abiria waliopaswa kwwnda Amsterdam

Naambiwa runway imechimbika hivyo ndege kubwa ambazo zinahitaji eneo kubwa la kukimbia kabla ya kuruka (initial velocity) haziwezi kutokana na hayo mashimo.