Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
Anonymous (5688)
Thread
ameomba
kuona
mtu
ombi
option
passport
uhamiaji
wakati
wapi
website
Kuna jambo ambalo halizungumzwi sana ila linatendeka sana, hili la wanafunzi madaktari wanapokuwa wapo kwenye mazoezi ni muhimu sana wakawa wanaambatana na madaktari wazoefu au walimu wao ili kuepusha hatari ya wao kufanya makosa kwenye mwili wa mtu.
Nakumbuka kuna siku nilipeleka mtoto wangu...
Kuna tatizo kubwa sana huwa linafichwa kwa kujaziwa full tank
Gari inaweza kuwa na tatizo la kubugia mafuta kupitiliza kiwango cha kawaida, matatizo haya ukafichwa kwa kujaziwa mafuta mengi
ni mpaka siku za mbele kabisa utakuja gundua uliuziwa mbuzi kwenye gunia
Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna.
Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote.
Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa anashangaa kuona taarifa zinazohusu wanafunzi katika baadhi ya shule zilizopo mkoani Dar es Salaam wakikaa chini, licha ya kuwepo kwa viongozi kama Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya na Maafisa Elimu.
Amesema kuwa changamoto hiyo siyo matokeo...
Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki.
Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao.
Kwa haraka haraka...
....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo
MFUMO WA ESS KWA SIMU
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa.
Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu
1. Kuweza kuona messages zilizofutwa na mtu yoyote iwe kwenye groups Au messages ya kawaida.
2. Kuset always online...
Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo.
Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29
na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao!
Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie...
Narudia kama wapo humu wasome
SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES
Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani.
🚮
Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana.
Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.