kuomba

  1. Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani. Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
  2. Hivi hizi ajira za TRA wanaruhusu kuomba nafasi zaidi ya moja?

    Habari zenu wana jukwaa? Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc. Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja? Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
  3. TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  4. E

    RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  5. Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  6. K

    KERO Kagera: Mamlaka husika tunaomba mtuweke taa za barabarani Bunazi, Wilaya ya Misenyi

    Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri. Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
  7. Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  8. Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  9. Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  10. L

    Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  11. Leo tarehe 31.12.2024 ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka huu. Nachukua nafasi hii kuomba radhi

    Tunahitimisha mwaka 2024.. Kiuhalisia hakuna kinachobadilika zaidi ya tarakimu.. Maisha yetu yametawaliwa na tarakimu.. Na hizi ndio zinaendesha dunia ya kimwili na ya kiroho pia Tarakimu hazina kinyume(rivasi).. Muda haurudi nyuma.. Hivyo basi siku hii ya huu mwaka haitakaa irudi tena maishani...
  12. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  13. K

    Kazi za BOT zilizopitia utumishi walisema wanataka watu wa Upper Second, First Class tu. Mbona na sisi wenye Lower Second system ilituruhusu kuomba?

    Hali zenu wandugu? Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe. Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka...
  14. J

    Raia aliyeanza kuomba kabla ya uhuru

    Unaweza kumwita kwa majina utakayo: rais wa ombaomba, nguli wa kuomba, mtoto wa mjini na mengineye. Hata hivyo, unaweza kumwita mwamba aliyefikia hatua yakutunishiana misuli na mamlaka unamkumbuka ombaomba huyu maarufu nchini? Alijulikana kwa jina moja la Matonya. Jina lake likawa kiwakilishi...
  15. Kwa faida ya Tanganyika ijayo ipo haja kwa watanzania wote wafurahie Tundu Lissu kuomba nafasi ya Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema. Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya...
  16. Ni sahihi kuomba maombi yako ya kawaida kwa sauti kubwa?

    Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali fulani. Swali langu kwa waombaji, je ni sahihi kutumia kipaza sauti wakati wa kuomba maombi binafsi?
  17. Nimenyimwa kibali baada ya kuomba kujenga Magereza binafsi

    Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji. Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja na mortuary binafsi. Ila naona feedback ni ndogo Sana . Magereza binafsi zingekuepo hizi ndo faida...
  18. D

    Hili la Waislamu kuzunguka na visanduku au mifuko kuomba sadaka limekaaje?

    Mara kadhaa hukutana na Ma-ustaadhi wakiwa na visanduku au mifuko wakiomba Sadaka/Swadaka kwa ajili ya misikiti (Sio michango) Hapo Huwa najiuliza huu ni utaratibu mzuri kweli? Maana waumini wanafika au wanatakiwa kufika ibadani katika misikiti au makusanyiko ya kiibada, na hapo ndipo mahala...
  19. Kanuni za kuomba Miungu na kujibiwa

    KANUNI ZA KUOMBA MIUNGU NA KUJIBIWA Anaandika, Robert Heriel, Kuhani Katika Hekalu Jeusi, Mtibeli. Watu wengi wanauliza swali hili. Wengine wananipigia simu wakitaka kujua wafanyaje ili maombi Yao kwa Mungu yajibiwe. Mimi kama Taikon Master, Kuhani Katika Hekalu Jeusi. Niliye na uzoefu...
  20. Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…