kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuolewa tena na mwenza uliyemtaliki

    Wasalaam wana JF Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma gurudumu la mahusiano na watu wengine huko waliko mwisho mahusiano yakatika kikomo pia. Unakuta...
  2. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  3. Wanawake wa kizigua wanafaa kuolewa?

    Kwa wale mlioishi Handeni ama mmeoa wazigua naombeni sifa za hawa watu, tamduni zao, changamoto zao tafadhali.
  4. Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

    Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo. Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa...
  5. Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  6. Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  7. M

    10 Reasons why you should not marry while you are still young

    There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed Marrying young can be problematic because there are many possible obstacles and traps. Before deciding to...
  8. Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako. Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba...
  9. R

    Baada ya Kuolewa alisema hivi "nilikuwa natamani mwanaume anibake"

    Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao. Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
  10. Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanaoπŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

    πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  11. Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

    Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili? Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
  12. Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  13. Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  14. Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  15. S

    Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
  16. Mapepo ya Harusi: Hivi inakuwaje wasiotuthamini wanatupa thamani wakiwa na shida ya kuoa au kuolewa?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi? Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
  17. Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  18. Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
  19. Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

    Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
  20. Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…