kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania India: Akamatwa kwa kuoa wanawake 18 akijifanya daktari

    Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Ramesh Chandra Swain mwenye umri wa miaka 66, alikamatwa Jumapili usiku katika...
  3. love life live life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri bora kwa wanaume waliooa/wanaotaka kuoa namna ya kumjua mkeo

    Mjue mkeo. Nimeombwa kutafasri.. tafasri hii sio ya moja kwa moja.. "Omba likizo ya siku 21, nenda nyumbani mwambie mkeo umefukuzwa kazi, Kutokana na upotevu wowote wa hela au sababu zinazofanana na hiyo. Na sasa unatakiwa kutumia akiba yako kidogo uliyonayo ili kujipanga upya. Jaribu kukaa...
  4. Rwaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kadinali wa Ujerumani ashauri mapadri wa Katoliki waruhusiwe kuoa

    Kadinali mmoja wa Ujerumani ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha useja kwa mapadri wa Kanisa hilo. Katika mahojiano na gazeti la Ujerumani la Sueddeutsche Zeitung, askofu mkuu Reinhard Marx amesema mapadri wa Katoliki wangeruhusiwa kuoa ikiwa wanapenda kufanya hivyo. Pia alitaja...
  6. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hujakomaa kiakili acha kuoa

    Moja ya dalili za mwanaume aliekomaa kiakili ni yule ambae mtakosana kwa jambo dogo lakini baadae atakupigia simu na mtaongea hatakasirika siku nzima .. Kwa sababu anajua yeye ni mwanaume ... wanaume wa hivyo wanajua wana mambo mengi ya kuweka akilini na sio ugomvi kati yake na mke wake ambae...
  7. Boveta

    JamiiForums Tanzania Bora nikaoe Tanga

    BORA NIKAOE TANGA Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani, Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani, Aongea kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani, Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani. Pangani nikimkosa, natafuta wa Handeni, Niweze peleka posa, nioe niweke ndani, Naenda haraka hasa...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa wake wawili mpaka wanne kuna mantiki zaidi kuliko kuoa mke mmoja

    Hii ni kwa mujibu ya uoni wangu hafifu,kuoa Mke mmoja ilikuwa ni aina Fulani ya "uzazi wa mpango duniani"
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchelewa Kuoa hakukufanyi ufanikiwe au uwe na unafuu wa Maisha

    KUCHELEWA KUOA HAKUKUFANYI UFANIKIWE AU UWE NA UNAFUU WA MAISHA! Anaandika Robert Heriel. Kwa kijana isipungue miaka 25 wala isizidi 33. OA mapema. Usikawie. Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama Familia yako. Wewe, Mkeo na watoto. Chelewa kupata yote usichelewe kuoa au kuolewa. Lazima...
  10. Mtu Kwao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga...
  11. JAMES EM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

    Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yule Mama akaniambia; umekosea kuwahi kuoa. Je, yuko sahihi?

    Kwema Wakuu! Kama mada isemavyo! Juzi nimeenda kununua Dawa Kama mnavyojua jijini DSM kuna vihoma mshenzi vinavyoendelea. Nilipofika Duka la Dawa nikapokelewa na Mama mmoja mtu mzima, ni Daktari. Akanikaribisha Kwa bashasha zote. Huku akinambia ananionaga na Mdada mmoja, akaniuliza ni mke...
  13. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usitoe ahadi kuwa utamuoa au akuoe kabla hamjakubaliana. Kitakachokutokea utajuta

    Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo. Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine...
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...
  15. 6WaS9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa muhimu za binti wa kuoa kuanzia 2021 na kuendelea

    Sifa muhimu za kuoa kuanzia 2021 na kuendelea, awe bikra, atoke familia isiyo masikini na awe chini ya 26yrs! Mwanamke ambaye ana experience zaidi ya miaka kumi kwenye mahusiano na wanaume tofuti tofauti huyo hafai kuwa kwenye ndoa.! Unatakiwa uoe mwanamke mgeni wa mapenzi, bikra! Kuwa...
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

    Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara...
  17. Kizibo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

    Wakuu salam! Nimekuwa nikihangaika kutafuta msichana wa kuoa kwa miezi kadhaa bila mafanikio. Nikadiriki kuleta uzi kule love connect kutafuta msichana wa kuoa lakini sikuambulia hata salam ya msichana hata mmoja. Baadae nikawa navizia wasichana wanaoleta maombi ya kutafuta wenza kule love...
  18. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

    Kuna jamaa hapa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulani hiviii. LOL Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na...
  19. Muuza simu used

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikiamua kuoa

    Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii: 1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki! 2: Mwanamke mama wa nyumbani [emoji817] percent 3: Mwanamke aliyekuwa mjuwaji 4: Mwanamke mwenye hofu ya Mungu 5: Mwanamke asiyetumia kilevi...
  20. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

    Kuna imani flani imejengeka kwa vijana wenye umri kuanzia 25-35 kwamba mwanaume umri wowote anaweza kuoa hata akichelewa hamna shida ataoa it's true kuoa mwanaume lakini kupata mwanamke wa ndoto yake ni ngumu sana 1. At the Age of 40 Kama atapata mwanamke mwenye umri kuanzia 29 hadi 39 hapo...
Back
Top Bottom