kuoa au kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mbunge wa Makambako (Jah People) atangaza kuwachangia Fedha Vijana watakaotaka Kuoa au Kuolewa

    Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema Kijana yeyote ambaye atahitaji kuoa au kuolewa ofisi yake itamchangia fedha ili kumuunga mkono katika kufanikisha ndoa yake lengo ikiwa ni kuhamasisha utaratibu mzuri wa kuoana pamoja na kuongeza idadi ya Watu Mkoani humo...
  2. Cute Msangi

    Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
  3. Brain Kingdom

    Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  4. peno hasegawa

    Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  5. Brain Kingdom

    Mapepo ya Harusi: Hivi inakuwaje wasiotuthamini wanatupa thamani wakiwa na shida ya kuoa au kuolewa?

    Wasalaam JF Niende kwenye mada straight, hivi inakuwaje katika jamii, sehemu za kazi, ujirani, au ndugu, mtu ambae haoni thamani yako anatambua uwepo wako nyakati zake za kuolewa au kuoa hasa michakato ya kuchangia pesa za harusi? Kuna uhusiano gani kati ya harusi na kuwatafuta watu ambao huwa...
  6. Mboka man

    Je ni kweli wazazi huwa wanaona mbali linapofika kuoa au kuolewa

    Japo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka Je katika hili kuna ukweli wowote ule
  7. Kichwamoto

    Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  8. C

    Umewahi kujuta kumuoa/kuolewa na huyo?

    Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa! Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla ya ndoa? Moyo wa mwanadamu ni kichaka, yawezekana amejaa sononeko ndani ya moyo wake kwa kutopata...
  9. Equation x

    Tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni lipi?

    Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu wanaokuzunguka kuwa upo kwenye mahusiano au ndoa?
  10. Ben Zen Tarot

    Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

    ★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote. ★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu. ★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako. ★4. Kuoana kabla...
Back
Top Bottom