kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kununua nyumba au kiwanja Dar Es Salaam

    Salamu matajiri. Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka. Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa. Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia. sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo/Open Yard ya kununua

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Yadi! Tunatafuta Open Yard ya kununua katikati ya jiji la Dar es Salaam. Yard iwe katika maeneo haya: Vingunguti, Kiwalani, Pugu road, nyuma ya airport. Tunatafuta Yadi yenye ukubwa wa 5000-6000sqmtrs. Bajeti ya Mteja: Tzs 1B. Ikiwa una Yadi au eneo inayofaa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  5. JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta viwanja 2 vya kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam. Ukubwa wa kiwanja unapaswa kuwa 900sqm-2500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja USD 1M. Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa...
  6. JamiiForums Tanzania Airtel wanatulazimisha kununua Bando

    Kulikoni airtel TANZANIA , yani ukitumiwa kakitu tayari wao wana pop message kukulazimisha ununue bado , jambo hili halikubaliki
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada; Nahitaji kununua Samsung. Je, version gani ni current na ipo vizuri?

    Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
  9. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

    Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wafanyabishara kununua mashine za kuchonga vipuri mbalimbali

    Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;- 1-Die Casting Machine • CNC Wire EDM Machines: • CNC Electric Discharge Machines (EDM) • CNC Milling Machines: • CNC Lathes: • CNC Routers: • CNC Plasma Cutters: • CNC Laser Cutters • CNC 3D Printers: • CNC Electric Discharge Machines (EDM): 2-Extrusion...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali zuia Taasisi za Serikali kununua IT Specialist na Apps kutoka KENYA

    Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk. Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa. Anyway tumevuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  15. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA Acheni kupoteza Kodi za Watanzania kununua watu, kadiri mnavyofanya ndivo mnatuimarisha zaidi na CHADEMA ! Mnaowanunua hawana msaada kwenu

    Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??. Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!. Hiyo Pesa ,ingetosha...
  17. JamiiForums Tanzania Kamishna WA mechi Ya FINAL Amekiri kupokea BARUA Mechi INACHEZWA NEW AMAN COMPLEX...TFF ..Simba msiwahadae WANASIMBA waendelee kununua TKT

    Kamishna WA mechi ya final Amethinitisha kupokea BARUA Mechi ya final INACHEZWA new AMAN complex Akihojiwa kamishna amesema UWANJA UKo vizuri na WAMEANZA matayarisho kwa AJILI ya final ya tar 25 Na meneja WA new AMAN complex amesema wamepokea BARUA na Toka mechi ya Simba hawajautumia kabisa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua MAGNETIC QUANTUM ANALYSER. Anayeuza tuwasiliane

    Jamani Nina hitaji hichi kifaa kinaitwa MAGNETIC QUANTUM ANALYSER kina pima maradhi mwilini ninashida nacho, So anayeuza au kama unafahamu mahali kinapouzwa Ninakihitaji haraka iwezekanavyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…