kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wana Teknolojia nina Swali: Bora kununua mid-ranger smartphone mpya au flagship used ya miaka 2 iliopita?

    Nna swali kidogo. Kwa mwaka huu mfano 2024, ukawa una Million 1 tu ya kutumia kununua simu. Ni bora kununua hizi simu za uwezo wa kati (mid-rangers) mfano Samsung Galaxy A55 mpya kabisa…au ni bora kwa gharama iyo iyo ukanunua flagship (high performance smartphone) ila used ya miaka miwili au...
  2. JamiiForums Tanzania Naenda Dar kununua pikipiki used mbagala zakhiem nina kesh ya 1.2m

    Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia pikipiki. Kimbembe wakati wa kurudi nisaidieni usafiri mzuri wa kuipakilisha pikipiki yangu TVS...
  3. JamiiForums Tanzania Benki kuu kununua madini, kama ni kweli asee hongera sana kufanya hivyo

    Chekini wenyewe
  4. JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bunge Uganda Lahoji Gharama kubwa ya Kununua Mbuzi

    Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia, Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza . Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua simu

    Unapotaka kununua simu mpya, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Haya ni mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Bajeti: Amua kiasi unachotaka kutumia kabla ya kuchagua simu. Simu zinapatikana katika viwango mbalimbali vya bei, hivyo kuwa na bajeti...
  8. JamiiForums Tanzania Inahitajika TV ya kununua kwa bei ya jioni

    Hello wakuu, Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/= Location: Dar es salaam ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

    Habarini, Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
  10. JamiiForums Tanzania Njoo tufanye biashara ya kununua korosho

    Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho. Nahitaji Tajiri ambaye yupo tayari kununua korosho , kwa rejareja (kangomba ) kwa sababu nina uzoefu wa biashara hii na...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni jinsi gani naweza kuaccess internet bila kununua vocha au kutumia wifi?

    Habari wakuu! Naona baadhi ya watu wanashinda Jf siku nzima ila mimi mpaka nikanunue vocha au kutumia wi fi . Hivyo basi wataalamu wa hivi vitu naomba msaada wa jinsi gani naweza kuacess internet bila kutumia Vocha au wi fi.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  13. JamiiForums Tanzania Kununua bodaboda na kufungua salon

    Samahan wakuu hapo sasa kipi kitanipa pesa? Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  17. JamiiForums Tanzania Ili mwananchi wa kawaida (asiye na simu janja) atumie Mtandao anahitaji Tsh. 272,000 kununua Simu na GB 3. Pato la Mtanzania ni Tsh. 254,000

    Idadi ya kadi za simu zilizo sajiliwa kufikia 2023 TZ (TCRA) 2020 51.2 million 2021 54.0 million 2022 60.2 million 2023 67.0 million KE(CA) 2020 57.0 million 2021 60.1 million 2022 63.3 million 2023 66.1 million UG(UCC) 2020 29.1 million 2021 30.2 million 2022 31.5 million 2023 32.8 million...
  18. JamiiForums Tanzania Najuta kununua 2009 Mitsubishi Pajero 3500Di-D: Auto

    Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki. NB: Kupenda 'show-off' kumenitokea puani.
  19. JamiiForums Tanzania Nizingatie nini katika kununua TV?

    Wakuu habari za muda huu? Nataka kununua Tv lakini sijui nizingatie nini katika kununua, ukizingatia sijawahi kununua Tv kabla. Pia naomba tofauti kati ya android na smart Tv ipi ni bora kwa uzoefu wenu? Na pia nichukue brand gani ambayo ni nzuri? Quote
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…