Nimekataa kuwa chawa tangu nikiwa mdogo sana.
Biashara ya kusifu na kuabudu mtu nishakataa kitambo mno.
Nikiwa Uvccm mtiifa mwaka 2008-2010 Dr Slaa akikiwasha na sharabaro unanionea wa msonga.
Kuna kiongozi wetu alituandaa tuje tusifu na kuabdu kwakwe pamoja na viongozi wengine wa juu ...
mambo vipi?
Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya google FIND HUB kwenye iyo simu na nilikuwa nimeicconect kwenye PC kwenye google Find hub pia na kila...
Wakubwa shkamoni, vijana wenzangu habari zenu.
Sorry guys, namtafuta mama mmoja ambae sijajua nawezaje kumpata wala sina informations zake atakua wapi au mahakama dvtn gani kwa sasa, japo
Sio kwa ubaya, but namtafuta sababu nina jambo la muhimu sana najua kwa 100% ni yeye peke yake anaeweza...
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank
Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
Habari waungwana,
Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa
Sasa lengo langu, nahitaji zaidi kupata sms zote za nyuma mwezi mmoja nyuma zote na calls, laini ni mtandao wa Voda...
Habari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko Ilala boma wanajiita wetrack. Nimewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu.
Shida sio gharama, je...
nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi.
Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili.
Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu.
Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
Kama heading inavyojieleza bado naangaika kusaka ajira. Kuna siku niweka uzi nikaukimbia watu wana maneno makali sana unaweza jiona hufai tena.
Sijachanganyikiwa kama wengine wanavyoamini mimi nipo timamu kabisa.
Kuna wakati nilizunguka uko kwa wataalam sikufanikiwa sababu naona ilikuwa uwezo...
Yaani pisi hata iwe kali vipi nikiigonga mara mbili tu naiona ya kawaida sana,siitafuti tena mpaka initafute.
Huwa nashangaa kuona watu wapo kwenye mahusiano miezi kadhaa au miaka kadhaa,mnawezaje?
Nadhani hili ni pepo mnaosali kwa Mwamposa vipi hili linaweza kukemewa au ndio nitaambiwa acha...
Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano.
Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
hawana
ikulu
kabudi
kamati
katibu
kazi
kiongozi
kiuchumi
kufanya
kunisaidia
lukuvi
mawaziri
mikataba
mkuu
mpya
mwenyekiti
mzee
rais
samia
serikali
shughuli
sura
utamaduni
vijana
waziri
waziri mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.