PMWAKA
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 226
- 244
Wakubwa shkamoni, vijana wenzangu habari zenu.
Sorry guys, namtafuta mama mmoja ambae sijajua nawezaje kumpata wala sina informations zake atakua wapi au mahakama dvtn gani kwa sasa, japo
Sio kwa ubaya, but namtafuta sababu nina jambo la muhimu sana najua kwa 100% ni yeye peke yake anaeweza kunipa jibu kamili, but I have tried to find her but si rahisi, nikaona maybe naweza pata msaada hapa, au anaweza pia kua yupo JF pia. Ni mtu anaeweza kunisaidia kunipa jibu la jambo ambalo limenisumbua na kunipa mawazo kwa muda mrefu sasa.
Kitu najua for 100% ni Jadge, ni mnyakyusa, Mala ya mwisho 2014 alikua judge i think mahakama gani sjui kuu or ya biashara, sina hakika, aliwahi kua msajili mahakama kuu Tabora huko nyuma i think, sina hakika sana but ni judge na ni mnyakyusa, wakuu kama kuna mtu anaweza nisaidia tu ni vipi naweza wasiliana nae nitafurahi sana pia atafurahi pia. Naomba msaada wakuu nipate kumfikia. Asanteni.🙏
Ni jambo la kibinafsi la miaka ya nyuma nikiwa mdogo sio la kesi au kiserikali.