Wakuu!
Umetulia zako huna hili wala lile halafu ghafla unaona mmoja wao, ni mdudu gani kati ya hawa unamuogopa zaidi? 😅
A. Kunguni
B. Nairobi fly
C. Tandu
D. Nge
E. Chawa
F. Mende
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao.
Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji.
Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu.
Kuna kunguni balaa.
halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga.
Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mtanda awataka vijana wasikae vijiweni washiriki kwenye makongamano kusikiliza fursa mbalimbali,
Mtanda ameoa wito huo kwenye Konga la wazi la Fursa za kiuchumi kuhusu mgao wa 30% za Rais Samia kupitia NeST.
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu.
Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria
Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa.
Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu.
Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni.
Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote.
My Take
Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya...
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa...
nilikuwa naishi mtaa flani hapa jijini, Dar es Salaam. Nyumba yangu ilikuwa ndogo lakini ilitosha kwa mahitaji yangu. Hata hivyo, kuna kipindi ambacho maisha yangu yaligeuka kuwa magumu sana. Sababu? Kunguni.
Siku moja nilianza kuhisi maumivu ya ajabu usiku, na nikagundua kuwa nilikuwa na...
Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria.
Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
Kipindi cha JK, hadi watoto wa primary waliandamana eti nao wanadai haki yao, wanavyuo, vyama pinzani, mpaka wabadini nao waliandamana kudai haki zao
Inashangaza sana
Nakumbuka 2013 nilikuwa kwenye viunga vya Bagamoyo, na kipindi hiko mgao wa umeme ulikuwa umepamba moto sana kiasi cha wananchi...
Tanesco ni taasisi useless sana hapa nchini.
Umeme mnakatakata Kila mnapojiskia, mnasingizia mvua.
Mvua Sasa inagonga ya kutosha mnasingizia nguzo.
Kila siku sehemu niliyopo lazima mkate na mbaya zaidi hamna fomula mnakata mnavyojiskia,bila kujua huo umeme hatuutumia tu kuchaji simu Bali ni...
Ukistaababu kunguni wa UDOM utayaona mazito ya barani Ulaya hasa Ufaransa ambako kunguni wametamalaki hadi ndani ya vyumba vya ikulu.
Wazungu ndio wanajiona mababa wa sayansi. Waundaji na watengenezaji wa silaha hatari za kumwangamiza binadamu ndani ya sekunde moja tu.
Lakini pamoja na umwamba...
Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha.
Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho.
Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
Sina haja ya kutaja jina langu wala kuandika maelezo mengi, lakini kwa ufupi mimi ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwakweli suala la kunguni UDOM limekuwa linasumbuwa na lina kera kwa muda mrefu.
Ajabu ni kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa kwa sasa wadudu hao wamekuwa wengi sana...
Ni wasi wafaransa sasa wamethibitika kuwa wachafu ,hawaogi na wana kunguni na chawa.
Serikali ijenge josho, mithili ya josho la ng'ombe.
Wote wanaoingia nchini wapitie humo.
Serikali itanishukuru baadaye!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.