kunani

Kunani (Persian: كوناني‎, also Romanized as Kūnānī and Konānī) is a city in and capital of Kunani District, in Kuhdasht County, Lorestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 15000, in 3000 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Kunani hizi timu ndogo kuzikamia timu kubwa

    Jana Azam na mastaa wao wote ( sopu,idrisu,feitoto,nado,lyanga,idrissa,bangala ) lakini wakadroo na Dodoma Leo yanga na mastar wao wote(kundubela,yaoyao,masingeli,azizi kibukta,pakome kakoma,mudaumemuathir yahaya, liquid protector diara,Ibrahim kibaka,suraboy,kibamarage,morokoko,mzizi na kikosi...
  2. R

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  3. Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  4. Ndege ya Rais yawasili tena Dubai ikitokea Dar es Salaam usiku huu! Kunani Dubai?

    Mda huu nakuandika habari hii saa 23:56 Dar Es Salaam! Radar zinaonyesha ndege ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliondoka nchini Tanzania saa 15:56 ila ilipotezwa kwenye radar dakika kadhaa baada kuruka! Muda huu naleta taarifa hii ndege ya Rais imeonekana kutua tena Dubai. Je...
  5. Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

    Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya. Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA...
  6. Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  7. B

    Kunani huduma ya CRDB Simbanking?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao.
  8. Mdau anauliza ni kwa nini offer za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu? Simba kunani? Mbona hakuna hata mchezaji wa Simba anayetakiwa nje?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  9. Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

    Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja. Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
  10. Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

    Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa. Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa...
  11. Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

    Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe. Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
  12. Aibu: Waumini wanawake KKKT wanaenda kanisani na suruali / jeans zilizobana, kanisa linachukulia poa tu

    Kumbukumbu la Torati 22:5 >> Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako. Tukiachana na kanisa hili la kilutheri kupasuka kila kukicha kwa migomo na vurugu kama ile vuta nikuvute ya...
  13. Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  14. Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  15. Ripoti ya ajali ya ndege kunani? Ukweli unaendelea kujifunua

    Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana. Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni kwakuwa chapa ya ndege yetu itashuka ikionekana hakukuwapo uwajibikaji wa wahudumu na shirika kwa...
  16. Mchezo wa Ureno na Ghana kuongezewa dakika kumi kuna nini kinatafutwa?

  17. S

    Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  18. M

    Yanga kunani pale? Form ya timu yetu imeshuka sana

    Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa. Aziz Ki ukiacha lile shuti lililotaka kumuua Manula ni wa kawaida sana, Bigirimana, Kisinda, Djuma Shabani...
  19. Hizi simu mbona bei rahisi hivyo kunani

    Habari. Hawa mabwana wanajiita Samsung discount wapo china plaza bei zao ziko chini sana ukilinganisha na maduka mengi yanayo uza simu za kufanana na hizo mpaka nimeshawishi nataka nikachukue Note 10+ lakini ninakuwa na wasiwasi ebu team Samsung nitoeni uwoga na wasiwasi nataka nikaitie petrol...
  20. Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

    Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki. Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…