kunani

Kunani (Persian: كوناني‎, also Romanized as Kūnānī and Konānī) is a city in and capital of Kunani District, in Kuhdasht County, Lorestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 15000, in 3000 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

    Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm? Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR YEHODAYA na...
  3. Dead Man

    JamiiForums Tanzania Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

    Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana. Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment. Lakini sasa ni mda sioni...
Back
Top Bottom