kunani

Kunani (Persian: كوناني‎, also Romanized as Kūnānī and Konānī) is a city in and capital of Kunani District, in Kuhdasht County, Lorestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 15000, in 3000 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Kunani, mbona JK kakasirika hivi?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne leo yupo kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Taifa cha Ulinzi ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tofauti na JK mwenye bashasha, mchana huu JK sura yake sio ya mchezo mchezo mpaka TBC wamekwepesha camera.
  2. chiembe

    Kunani Zanzibar? Ina eneo dogo kuliko Dar es salaam, lakini Rais anahangaika kuiongoza, vikao na waandishi wa habari,fukuza nyingi

    Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya wazanzibari. Rais Mwinyi anaitisha vikao na waandishi wa habari kuliko hata Rais yeyote wa afrika...
  3. Raphael Thedomiri

    Kunani NHIF!

    Habari zenu wana-jf wenzangu. Siku hizi za karibuni hapa, waziri wa afya amekuwa akieleza kuhusu mfuko huu, kwamba unajifia kutokana na kuelemewa na madeni! Na sasa imetoka habari hiyo hapo chini! Je, nini hasa maana ya haya yote?!
  4. Extrovert

    Aisee Kinondoni kunani, mirindimo ya kuogofya sana

    Niko macho mudaa huu naskia mirindimo ya ajabu mithili ya Urusi hapo Kiev Ukraine, ni fataki au kitu gani hicho maana usingizi hauji kabisa. Ama ndio uzinduzi wa sensa??
  5. uran

    Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  6. sky soldier

    TCRA GB 1 Yafikia shilingi 1,861 ambayo itapanda, Ni jitihada za kuiminya internet kwa lengo lipi ?

    TCRA kuna nini huko, Nachojua hizi internet TCRA ndio kama anaewajumulia mitandao ya simu waje kutuuzia kwa reja reja, Hatuwezi kuilaumu mitandao ya simu bali TCRA, Wao wakipandisha bei basi na mitandao inapandisha. Kuna nini hasa ? Hizi ni danadana za haba na haba hujaza kibaba sitakja...
  7. M

    Siku hizi Clouds 360 kama hawana vipindi hivi hasa yale majadiliano kunani?

    Nimeona kimya wiki sasa inakatika akina Sam Mlaasali na wengine hakuna.
  8. J

    Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  9. JanguKamaJangu

    Wizara ya Utalii ni kaa la moto, kunani? Uchambuzi huu hapa…

    Mabadiliko madogo ya mawaziri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, jana Machi 31, 2022 yamemuweka Waziri Pindi Chana kwenye wizara yenye “moto”. Wizara hiyo yenye historia ya “kuwakaanga” mawaziri kwa kashfa na wengine kushindwa hata kumaliza mwaka mmoja si nyingine ni ya Maliasili na...
  10. kasanga70

    Mkurugenzi Manispaa Iringa Kunani? Mji umekuwa mchafu na viongozi hawajali

    Wasalaam Miaka michache ilikuwa ukiingia mkoa Wa Iringa utakuta mji ni msafi hadi unavutia. Hili Leo ni story. Wiki nzima nimekuwepo Iringa hususan stendi ya zamani, inasikitisha. Matakataka kila kona. Uchafu umetapakaa, stendi mabarabarani no body cares. Hata maeneo ya wazi kabisa ni hatari...
  11. CK Allan

    Kunani makato ya mikopo kwenye mishahara ya wafanyakazi Januari 2022?

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili. Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana. Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6...
  12. B

    TANESCO TANESCO TANESCO KUNANI?

    nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio....... naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali? kuna mgao?????? MBONA SERIKALAI IKO KIMYA NA KUTUACHA WANANCHI MIDOMO WAZI. ANEJUA KINACHOENDELEA ATUJUZE HAPA.
  13. nyboma

    Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

    Ni mara chache Jeshi letu la Wananchi kuja na tamko zito kama hili kunani? Je ni kuhusu ugaidi unawosemwa katika mitandao ya kijamii? ama tuvute subira hadi hiyo kesho saa nne (4) asubuhi kujua ni habari hiyo ya kustua. Pia soma: News Alert: - Upanga, Dar: Yaliyojiri kutoka Ukumbi wa JWTZ...
  14. voicer

    CCM mmeteua au mmepinduana?

    Naenda kwenye mada moja kwa moja. CCM mmefanya uteuzi wa makatibu wakuu nchi nzima, jambo ambalo ni nadra kufanyika au halijawahi kufanyika tangu tumepata uhuru. Kwamba anaingia mwanachama wa chama CCM kushika wadhifa wa urais. Anashika pia wadhifa wa uenyekiti wa chama Kisha anaanza kupangua...
  15. Erythrocyte

    Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  16. mugah di matheo

    Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

    Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm? Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR YEHODAYA na...
  17. Dead Man

    Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

    Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana. Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment. Lakini sasa ni mda sioni...
Back
Top Bottom