Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 1,863
- 1,893
Wakuu,
Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo."
Taarifa ya Magen David Adom imethibitisha kifo cha mwanaume wa takriban miaka 70 na kujeruhiwa kwa watu wanne, wakiwemo mwanaume na mwanamke wa miaka 30 na kijana wa miaka 15, ambaye yuko katika hali mbaya.
Mshambuliaji ameripotiwa kuwa raia wa Israel kutoka mji wa Waarabu wa Druze aliyeingia nchini Mei, huku uchunguzi ukiendelea.
Kwa mujibu wa Al Jazeera, aliyeuawa alikuwa Mpalestina raia wa Israel kutoka kijiji cha kaskazini. Wajumbe wa jamii ya Druze wamekemea shambulio hilo, ingawa bado haijulikani lilichochewa na nini.
Wanasiasa kadhaa wamelihusisha tukio hilo na uongozi wa Netanyahu, huku baadhi ya wanachama wa serikali ya mrengo wa kulia wakihimiza kuongezwa kwa silaha miongoni mwa walowezi na raia wa Israel kutokana na mashambulizi yanayoongezeka.
===================================================
A man has been killed and four others wounded in a stabbing attack in the northern Israeli city of Haifa, officials said.
Israeli police said the attack took place at a bus and train station on Monday and that “a security guard and a civilian at the scene” had “neutralised” the suspected assailant.
“Paramedics and EMTs have pronounced the death of a man around 70 years old and are providing medical treatment to and evacuating four injured individuals,” Israel’s Magen David Adom emergency service said.
It added that a man and a woman, both aged about 30 years, as well as a 15-year-old boy, were seriously injured in the attack.
Police said that the assailant was an Israeli citizen from a nearby Arab Druze town who had returned from abroad in May and that the attack was still being investigated.
Al Jazeera’s Hamdah Salhut, reporting from Jordan’s capital Amman, said that the man who had been killed was a Palestinian citizen of Israel from a village in the north.
“Members of the Druze community have condemned this attack,” said Salhut, adding that the motive was “unclear”. Meanwhile, the 15-year-old who was wounded in the attack was said to be “in pretty severe condition” at an intensive care unit in a hospital near Haifa."
“There have been politicians who’ve been speaking out, saying that this is a direct response to Benjamin Netanyahu’s leadership,” said Salhut. “Remember that you also had members of the far-right government … who were calling to arm more Israeli settlers and citizens as a result of the rising number of attacks.”
Source: Al Jazeera