Suala la bunge kutaka kumsifia rais linaonesha bunge limegeuka kuwa wasemaji wa rais badala ya wananchi.
Ni bunge haramu hilo linaenda kinyume na makusudi ya kuundwa kwake ni wawakilishi wa wananchi sio wa rais.
Hii ndio shida ya kuwaingiza mbumbumbu bungeni hawajui wameenda kufanya nini...
Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana.
Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
Wengi wenu sasa hivi mnamchukia Samia kwa sababu Lissu yuko jela.
Mmeshasahau kabisa kuwa hata Mbowe aliwekwa jela kwa tuhuma za ugaidi mwanzoni mwa utawala wa huyu huyu mama yenu.
Mbowe alisota jela takriban miezi nane.
Sasa, itakuwa hivi:
Lissu ataachiwa tu. Anaweza kuachiwa kabla kidogo...
Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama.
Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
Kuna wakati unaweza kumsifia mtu kumbe bila kujua unamharibia. Privaldinho alianza vizuri andiko lake ila kumfananisha Mwigulu na mtu aliyekuwa na kashfa kibao za ufisadi na ukwepaji kodi sio sawa. Hapo anamharibia.
https://www.instagram.com/p/DL-rOBjKqy2/?igsh=Ym9mbjdsYXg5bGk1
1. Kumsifia Rais.
2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni,
3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2.
Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo.
Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card.
Usipotekeleza no. 2 huwezi...
Wakuu hebu tujadili kitu kimoja hapa.
Media na watu maarufu na machawa kutwa kucha ni kusifia tu na wakati kuna mambo kibao yanatokea ambayo siyo mazuri ambapo walipaswa kuwa wanayaongelea pia lakini wao kazi waijuayo ni kusifia.
Anyways tuseme wanaogopa kukosoa kwasabab absolutely watapitia...
wapambe wa Mama sasa ni kumsherehesha na kumsifia tu. Mambo muhimu hawajali. Waziri anapata shida kwenda kuongea na Mama sera za elimu lakini kila siku ni Mama ni kushsreheshwa au kusifiwa tu. Mara tuzo, mara matamasha , mara kachaguliwa kweli hili, mara birthday. Waziri wa elimu kapewa kwa...
Hivi Karibuni mtu mmoja anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja Philemon Aggrey ameokoka na kuonesha kuwa ana nia ya kuacha na ushoga. Jamaa ameshare upekee wa maisha yake na kuonesha yako mengi kwenye maisha yanayopelekea watu kuwa hivyo, japo yeye amezungumzia zaidi masuala ya starehe na...
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania..
Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua.
Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
Msanii Diamond karibia hayo Mafanikio yote uliyoyaonyesha katika Video ya huo Wimbo wako (Kichupa Chako) ambayo kama kawaida ya Mr. Kiherehere Gerson Msigwa (Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo) kaishea Mitandaoni akidhani Mama atafurahi na Kumrejesha tena Ikulu anakokupenda kweli...
Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili.
Hawa mawaziri ambao kila...
Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya.
Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa.
Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni...
Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka?
Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme.
Hakika mama...
Tunakoelekea sasa Mheshimiwa Rais Samia tutakutajia Watendaji wako (hasa Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya) wenye Unafiki mkubwa ambao GENTAMYCINE huwa napata Taarifa zao kupitia kukutana nao baadhi, Wanafamilia Wao, Ndugu zao, Madereva, Wasaidizi Ofisini na Walinzi wao na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.