kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
  2. Kumbukizi: G.Lema alimuonya Sabaya,yeye akatia kiburi

    Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
  3. B

    Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

    Kama binadamu, sote tuna mapungufu. Hata hivyo ashukuriwe Mola kwa kutupatia nyota wa kuangalia na kujifunza miongoni mwetu. Enyi viongozi wetu wa zama hizi mliojawa na ubinafsi uliopitiliza, mtakumbukwa kwa ubinafsi wenu? ---------- Credit kwako mkuu sana bwana Achimwene wa Makete: Mambo...
  4. Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  5. U

    Kumbukizi: Waliowahi kuwa Marais wa Zanzibar Katika Picha ya pamoja

    Hayati Abeid Aman Karume & Aman Abeid Karume
  6. U

    Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  7. Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

    Moja kwa moja kwenye mada. Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai. Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa...
  8. W

    Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

    Ndugu zangu, Mnamo mwaka 1999 aliyekuwa Meneja wa Billcanas ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Chadema akimkabidhi tuzo mlimbwende Hoyce Temu ambaye kwa sasa ni Balozi mteule.
  9. T

    Kwanini kumbukizi ni Hayati Sokoine, Nyerere na Karume tu?

    Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki. Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually? Je, ni Sokoine, Nerere na Karume pekee wenye hivyo vigezo? Na iwapo viongozi wengi watakidhi hivyo vigezo si tutakuwa na...
  10. Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii...
  11. Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

    Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
  12. Leo kumbukizi ya muungano wa Zanzibar na Tanganyika, utaratibu upo vipi?

    Tuliisha zowea sikukuu za kiserikali kutaarifiwa gharama ( pesa ) kuelekezwa kwenye miradi mingine sasa sherehe hii ya leo imekaaje?
  13. Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  14. Salaam za kumbukizi

    Habarini wana jf ni tumaini langu kuwa nyote mu wazima wa afya kabisa. Leo ningependa tutoe salaam za kumbukizi kwa ndugu,marafiki,wazazi,walezi na wengineo tuliowahi kukutana nao maishani. Nikianza na mimi salaam zangu ziwafikie marafiki zangu wote tuliowahi kuwa pamoja na pia kwa...
  15. Kumbukizi 2015: “Nitailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania; Nitawatendea haki sawa watu wote bila Upendeleo kwa mujibu wa Sheria."- Dkt Magufuli

    Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
  16. Oktoba 14: Kumbukumbu ya Kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Imetimia miaka 21 tangu imempoteza Tanzania kifo cha Baba wa Taifa

    Leo ni Kumbukizi ya Kitaifa ya miaka 21 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 nchini Uingereza alipokuwa anapatiwa matibabu. Mwalimu Nyerere ni mmoja kati ya waasisi wa Taifa la Tanzania, ambaye alishiriki kikamilifu katika harakati za...
  17. Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania kuelekea 14 October. Kwanini Nyerere day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (April 13)? What's the logic behind? Ina maana kifo ni muhimu sana kuliko...
  18. Kumbukizi ya Mwanahistoria Profesa Wamba Dia Wamba

    Join our Cloud HD Video Meeting
  19. Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…