kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kulipia king'amuzi wakati umeme hakuna?

    Wakuu habari zenu.Mimi siyo mwanasiasa japo siasa naona inanishindisha giza na kunilaza giza.Ndani ya siku 30 nilizolipitia king'amuzi changu cha AZAM nakadiria kutumia bandle hilo kwa siku 11 tu. Siku zingine umeme hakuna. Sijui wenzangu mnaiona hiyo hasara wanayonipatia TANESCO
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kulipia lodge, leo naupeleka mchepuko home ili wife akome kuninyima mbususu

    Nimechoka kulipia lodge, nataka nipeleke mchepuko nyumbani ili wife akome kuninyima mbususu. Wakuu naombeni ushauri! Nina mke lakini amekuwa mtata Sana kwenye kunipa mbususu Hali iliyopelekea nitafute mchepuko. Sasa shida ni hela ndugu zangu,yaani kila ninapotaka kwenda kuuzagabua mchepuko...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  6. JamiiForums Tanzania Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

    Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z)...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Maulid Mwita aomba radhi na kutengua kauli ya katibu mtendaji wa baraza la sanaa juu ya kulipa 1,000,000 kupata kibali cha mwanaume kusuka

    HABARI Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, ameomba radhi na kutengua kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar, Dkt Omar Adam ya kwamba mwanaume yeyote anayetaka kusuka visiwani humo itambidi alipie...
  8. JamiiForums Tanzania Mtandao upi mzuri kutangaza kwa kulipia Tanzania, kati ya Facebook na Instagram?

    Habari. Kati ya Instagram na facebook ni upi mtandao mzuri wa kuweka matangazo ya kulipia?
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Msamvu yashindwa kulipia hata umeme, ni giza Totoro!

    Stendi ya Msamvu hali ni mbaya kimapato licha ya uzuri na ubora wake. Menejimenti ya stendi hiyo yashindwa kulipia hata umeme. Abiria wanaporwa hovyo kwasababu ya giza lililotawala kwenye stendi hiyo. Kama vipi tumkabidhi Muarabu aendeshe. ============== Upande wa vyoo vichafu mno, upande wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Kuvuka daraja hili utalazimika kulipia shilingi 400

    Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi. Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchaji fedha au kuweka mfumo wa kulipia kwenye WhatsApp

    Wewe ni freelancer ,mwandishi au mfanyabiashara Na unahitaji kuweka mfumo wa kulipia ili watu kabla hawajajiunga kwenye group lako la WhatsApp au WhatsApp business waweze kulipia Na uweze kupokea fedha zako kirahisi. Au pengine ni mfanyabiashara Na unahitaji kuuza bidhaa zako WhatsApp Na watu...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongeza Miaka 15 Kulipia Nyumba za Magomeni Kota

    Wakazi wanaofikia 644 wa eneo la Magomeni Kota jijini Dar es Salaam waligoma kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba za eneo hilo kwa madai kwamba bei pamoja na muda wa malipo uliopangwa haukuwa rafiki kwao na wala hauendani na hali zao za kiuchumi ambapo walipaza sauti zao kumuomba Rais wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  16. JamiiForums Tanzania Mamlaka za utalii zije na utaratibu wa kulipia matangazo Instagram/Twitter/Facebook/tiktok

    Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii. Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
  17. JamiiForums Tanzania Choo cha kulipia Tegeta sokoni kimeniharibia siku

    Niende moja kwa moja. Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee! Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Jipatie jiko la gesi la kulipia kidogo kidogo kama luku kuanzia sh 1000

    Hili ni zuri sana, haikulazimishi kulipia mtungi mzima kwa Sh 23000 au Sh 58000. Kwa Sh 1000 yako tuu (buku) unanunua sehemu ya gesi iliyo kwenye mtungi na kupikia. Achana na zile gesi ikiisha unatelekeza mtungi na kurudi kwenye mkaa au kulazimika kutibua bajeti yako uliyojiwekea. Unalipia...
  19. JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  20. JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu itumike kama fedha ya kigeni kulipia madeni yetu

    Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina. Dhahabu ni fedha ya kigeni. Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo. Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini. Inaitwa thinking out of the box.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…