kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi. Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha. Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa sasa tunamuhitaji Rais Samia Suluhu kuliko Katiba Mpya

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Kwanza pongezi sana kwa kila anayetamani Katiba Mpya kwa sababu nia ya Rais Samia Suluhu kutekeleza nia yake inaonekana wazi. Kwenye Bunge lijalo la Bajeti, Wizara ya Katiba na Sheria inaenda kuomba pesa kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya. Ni wazi 'Mama'...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati(upendo) hutuliza nafsi kuliko pesa

    Jaribu kua na ela alafu usiwe na amani na ukose ule upendo WA dhati ndo itakua hata ukiwa na pesa kias Cha kua afford hizi basic needs za kibinadam zote na luxury pia..Bado Kuna namna ya kukosa amani yaani inakua ujai vizuri ....upendo WA kweli unatuliza sana nafsi. Ukiongezea na kupata a very...
  6. JamiiForums Tanzania Taswira ya uwekezaji katika nchi yetu inaonesha wageni wanawekeza zaidi kuliko wazawa

    Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023; 1. Dar - Bilioni 422 2. Pwani - Bilioni 307 3. Morogoro - Bilioni 19 4. Ruvuma - Bilioni 17 5. Arusha - Bilioni 9 6. Mwanza - Bilioni 7 7. Mbeya - Bilioni 6 8. Dodoma - Bilioni 5...
  7. JamiiForums Tanzania Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

    Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini. Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
  8. JamiiForums Tanzania Kula dagaa kuna faida kuliko kula samaki wakubwa

    Tofauti na samaki wakubwa, mtu anayekula dagaa anakula hadi mifupa yake. Sasa mifupa ina madini mengi sana ya calcium. Madini hayo ndiyo hujenga mifupa ya viumbe wote. Binadamu anayekula dagaa anakuwa na mifupa imara sana kuliko alaye samaki wakubwa, hasa kwa watoto ambao wanakua. Kwa kweli...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool 7, Manchester 0, je Liverpool ni bora kuliko Manchester kipindi hiki

    Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao. Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji wake (balozi) amemuadithia mke wake mambo yote aliyomfanyia na kuambiwa kwa siku SABA na mgeni...
  10. JamiiForums Tanzania Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  11. JamiiForums Tanzania Afya ya Wananchi ni kitu muhimu kuliko vyote. Kwanini tusitoe ruzuku kwenye mifuko hii ya bima za afya zinazosuasua?

    Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho. Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mwajiriwa yuko na kiburi, jeuri na majivuno kuliko bosi?

    Habari wanajukwaa. 👤 Waajiriwa ndo maana wanabaki kuwa watumwa wa siku zote maana hata mungu anaona kinachoendelea. Unakuta mfanyakazi anavimba kama yeye ndo boss. 👤 Jeuri, kiburi majivuno daah balaa tupu,uchawa mwingi sema yote ni njaa na kuwa na akili finyu. Any way point ni kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

    Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa . Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
  14. JamiiForums Tanzania Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wanakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko wanaume

    Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume. Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi WANAUME, kuhusu za makusudi baina ya wanawake wenyewe wanapaswa kufanya ili kuinua uchumi wao ikiwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake Wana Akili Kuliko Wanaume? Hata kwenye Siasa na Uongozi, Wanawake Wameonyesha Uwezo Kuliko Wanaume

    Wanabodi, Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani Tanzania, nimekuja kujiridhisha kiukweli kabisa ukubali, ukatae, kumbe wanawake wana akili sana...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…