kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...

    Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili? Blah blah zinazotemwa na wanasiasa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

    Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kava nzuri hunyonya mstuko, heri kutumia simu bila kava kuliko kava gumu linalobana sana, simu inapodondoka mshtuko unanyonywa na simu badala ya cover

    Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha. Kava nzuri...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba: Kwa Mbowe uenyekiti ni muhimu kuliko malengo ya CHADEMA

    https://www.youtube.com/watch?v=5zmBG-wfUTU Kwa kweli Mbowe anashangaza na kusikitisha sana. Maneno haya mazito na marahisi yametolewa na Askofu Mpemba huko ughaibuni. Unamuuliza Mbowe kama lengo la chama ni kushika dola na yeye ameshindwa kutimiza lengo, kisha akatokea mtu ambaye anaweza...
  9. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mkubwa kuliko shilingi milioni Kumi

    Hivi leo hii ukisikia mtu kaokota shilingi milioni kumi [10,000,000] halafu kaipeleka polisi au karudisha kwa mwenyewe,je utamwonaje? Bilashaka wengi wetu tutamwona ni mpumbavu Ukweli ni kwamba mtu huyu ni mkubwa kuliko hiyo hela ambayo wengi wetu tunababaika nayo,yupo imara kiroho,kihisia na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna collaboration duo iliwahi kutisha kuliko ya Ja Rule na Ashanti?

    Aisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule. Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary hizi ngoma nasikiliza sana hata sielewi wanaimba nini. Kweli wakati ukuta, Ja Rule alikuwa at the peak...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Punda ni mzuri kuliko pundamilia

    Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia. 👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia 👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake watakuwa wakifanya mapenzi zaidi na ROBOTI kuliko Wanaume kuanzia 2025

    Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume. WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti. Dk...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Unapodai risiti dukani na kupewa yenye kiasi pungufu kuliko hela uliyolipa unachukua hatua gani ?

    Dukani unaambiwa bidhaa ni kiasi flani na unalipia unawakumbusha risiti, wanakutolea yenye kiasi pungufu
  15. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kila nyumba imara,yupo mwanamke

    Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

    Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
  17. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini ccm wamefurahi zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti kuliko Lissu?

    Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya Lisu. Haya mahaba na Mbowe yanatoa picha gani!?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyu

    Mkumbushe Mjomba Wako wa Miaka ya 80 Asikariri Misemo, Nyakati Zinabadilika. Ule Msemo wa 'Nyumba ni Choo', Wapangaji Wanauzingatia Kuliko Mwenye Nyumba. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Binamu, mwambie mjomba kuwa, misemo yao siyo ya kwetu. Maana nyakati zao ziliishia kwao hazipo...
  20. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania CCM tuongozeni milele kuliko manyumbu wafuasi wa chama fulani

    Baada ya mwenyekiti wao na wafuasi wake kusema amekipambania chama nikatafakari na kujua wafuasi wa iko chama ni manyumbu Iv kupambania maana yake katumia garama au pesa , kwa mfanya biashara mzoefu haoni hasara ku take risk ktk biashara Uwekezaji wake katika chama wao wanaona kapambana...
Back
Top Bottom