kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  2. P

    JamiiForums Tanzania Polepole na uzalendo mpya! Ana uchungu na katiba ya CCM kuliko ya nchi?

    NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI. Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake. Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri nyingine tofauti , Polepole amekuwepo nyakati zote Katiba ya nchi ikivunjwa tena Kwa ushabiki mkubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  4. JamiiForums Tanzania Kasema Robo tu! Asee, sema yote - umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi

    Kasema Robo tu ! Asee sema yote umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi Sema pale Morogoro na Ruhangwa (Ruangwa) gari lililopaki kabla na kuweka counting machine ili moshi uanze. Kwanini unakwepa kulisemea? Britanicca
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Rais Samia alifanya mikutano mingi kuliko Magufuli

    Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
  6. JamiiForums Tanzania Sebene bora kuliko yote ni hili kutoka kwa Werrason

    Werrason ndiyo Bingwa wa Masebene Africa na Dunia. Kwenye Sebene alizopiga hili ndiyo funga kazi, koffi na wenzake wanasubiri sana.
  7. JamiiForums Tanzania Kisaikolojia: Mtu mkimya ana Nguvu kuliko mtu mwenye kelele

    Copy hii code kisha ishi nayo.
  8. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini misimu/vipindi vya jua huwa vinakuwa virefu kuliko vya mvua?

    Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  11. JamiiForums Tanzania Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

    "Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana" "Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Napenda ku-date na wadada wa elf 2003 kuliko mishangazi

    Habarini, Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa. Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
  13. JamiiForums Tanzania EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine

    Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasio wasomi i e:Babalevo wana maana kubwa kuliko wabunge wasomi i.e:kimei

    Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla? Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini ya mti hana mbele wala nyumba watu wanajitokeza kugombea nafasi za uongozi badae wanapita yeye...
  16. JamiiForums Tanzania M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha

    Huyu dogo M/kiti wa UVCCM wa kipindi hiki hata hana reasoning capacity ya kutosha na hii tunapima kwa namna ya anavyoshare view yake kwenye social media. Honest hata hii UV CCM imepwayaa na haina.mvuto na ni kwa sababu viongozi wake wenyewe thinking capacity ni ndogoo.
  17. JamiiForums Tanzania KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapambana zaidi hadharani na CCM kuliko wanaume!

    Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume. Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa. Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  20. JamiiForums Tanzania Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…