kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini maandamano imekuwa njia mbadala ya kuondoa tawala za kifisadi kuliko mtutu wa bunduki?

    Dunia nzima sasa hivi, watawala mafisadi wanaondolewa na maandano ya wananchi. Ni kweli kuwa kuwa mamlaka ya kutawala yanatoka kwa wananchi. Lakini kwa nini watawala mafisadi duniani kote wanaogopa kuondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi waliochoka kuibiwa mali za umma kama huko Nepal!
  3. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  4. JamiiForums Tanzania Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

    Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini? Ushahidi kutoka Qur’an Surat Maryam (19:16–21): “Na mtaje Mariamu katika Kitabu, alipoweka...
  5. JamiiForums Tanzania Waya wa Display port unatoa picha kali kuliko waya wa HDMI

    Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka 2022 Dell ya kulia
  6. JamiiForums Tanzania Walioandaa maandamano wana nguvu kuliko walioandaa uchaguzi Mkuu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Huyu aliyekaa akawaza aitishe maandamano alicheza kama Eden hazard Anaonekana atakauwa na nguvu sana ndani ya mfumo Uchaguzi hauzungumziwi kinachozungumziwa ni maandamano Tukimaliza kuchoma vituo vya kupigia kula tukutane barabarani...
  7. JamiiForums Tanzania Afrobarometer: Idadi ya wanaotaka utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wanaotaka demokrasia

    Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
  8. JamiiForums Tanzania Ingawa mimi ni mshabiki wa maisha wa Tupac ila ningependa ku-admit kuwa biggie alikuwa an flow na wordplay nzuri kuliko Pac

    Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda. Ila big alikuwa picaso wa kudeliver sanaa ya kufoka foka iwe katika mpangilio na ubunifu wa kuteka sikio lako...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

    Usikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma. Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna. Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
  10. JamiiForums Tanzania Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kanye North: nitapenda kumchagua baba kuliko Mama

    Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja. Anasema: “Nitamchagua baba yangu siku yoyote ile nikiulizwa. Baba yangu ndiye shujaa wangu. Baba yangu...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29

    Vikao vya siri kuelekea maandamano tare 29. Nairobi anaratibu MARIA SARUNGI LEMA ataratibu CANADA US anaratibu MANGE akishirikiana na NGURUMO. Baadhi ya viongozi watashiriki kupitia mtandao. Mpango ni kusafirisha vijana kutoka Kenya kwa siri na watahifadhiwa kwenye nyumba za ibada za dhehebu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

    Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu. Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign. Leo hii Samia ni wakuwaambia...
  14. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  15. JamiiForums Tanzania MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  17. JamiiForums Tanzania Bora UKIMWI kuliko Siasa

    Bora Ukimwi sio siasa inavyo ondoka na wengi
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  19. JamiiForums Tanzania China wajenga daraja kubwa kuliko yote duniani

    Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
  20. JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere alimuogopa Nyerere kuliko Polisi

    Andrew Nyerere ile miaka ya 1990s akiwa kijana wa ku party kwenye clubs, alikuwa akifanya fujo halafu police wakianza kumtafuta alikuwa anakwenda nyumbani kwa RPC wa Dar miaka ile yaani RPC Tryphon Maji pale A. H. Mwinyi Rd jirani na Kaunda Drive. Basi police wanakuwa wa pole tu. Aliona vema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…