kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. JamiiForums Tanzania Kujihisi kushiba muda wote baada ya kula kidogo

    Nimekumbwa na tatizo la kujihisi nimeshiba baada ya kula chakula. Nikinywa chai asubuhi utafika usiku bika kuhisi njaa wala kutamani chakula. Sisikii maumivu yoyote na napata choo kama kawaida. Walaam Tatizo laweza kuwa ni nini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  3. P

    JamiiForums Tanzania KILA NIKIMALIZA KULA NAPATA KIKOHOZI.

    Habari zenu, nimekuwa tofauti kidogo pengine ni kawaida kwa kila mtu kupata kikohozi kidogo, hii ilianza yapata miaka mitatu iliyopita sasa nikaona nije humu mnisaidie. Asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Wengi hatuna utamaduni wa kula matunda na kunywa maji.

    Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani. Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana. Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
  5. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  6. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kula wali?

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda! Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakula mende?

    Je ni kweli kuwa kwa sasa hapa tanzania, watu wanakula mende?
  8. JamiiForums Tanzania Nitaepukaje hali ya kujisikia mchovu baada ya kula?

    Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala. Kuna jinsi ya kuiepuka hiyo changamoto? Asanteni!
  9. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kula mboga saba?

    Sijawahi kuelewa kabisa mtu anakulaje ugali mboga saba kwa raha mustarehe akifurahia chakula, wengine wanaita kucheza drafti. Mimi chakula kikizidi mboga tatu huwa naona kizunguzungu tu saa ya kula. Pia mboga zikiwa nyingi sana tofauti tofauti ugali huwa unawahi kuisha mboga zinabaki inabidi...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
  11. F

    JamiiForums Tanzania Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Ukame wasababisha Wazimbabwe kuchinja na kula Tembo

    Njaa isikie kwingine tu. Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀]. Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika. Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo. Kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo, serikali yake imetoa ruhusa ya kuchinjwa kwa tembo 200 ili wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  14. JamiiForums Tanzania Kula maisha, wkend ndio imeanza

    Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo. Mi nimeshapiga pamba zangu nyeupe kwa ajili ya kujichanganya na jamii; we unajipanga kwa lipi katika wkend hii? Maisha ni haya...
  15. JamiiForums Tanzania Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

    Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann...
  16. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

    Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha. Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake Jamani tunzeni figo zenu maana athari...
  17. JamiiForums Tanzania Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  19. JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Ukitaka kula na shetani tumia kijiko kirefu

    SHETANI Baada ya msoto wa muda mrefu, Chuwa alifanikiwa kupata kazi. Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake, maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume anaesifia kula chips twitter (x) ni nani Tanzania?

    Kuna mtu kila nikiingia x namkuta anapost kusifia chips. Na hii ni baada ya wadau kumponda nadhan anatumia muda wake wote maishani kujaribu kuonesha yuko sahihi. Wanaume/Mwanaume usile chips we mwanaume ujue. Isipokua kwa wale second class men
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…