kukutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    UCL Quarter Finals: Real Madrid kukipiga na Bayern, Liverpool kukutana na PSG

    Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4. Hivi ndivyo mechi zitakavyokuwa, je nani atatoboa kuingia nusu fainali
  2. Kwanini wanawake wa CHADEMA walitaka kukutana Musoma na sio Dodoma?

    Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi. Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio...
  3. LOOSE BALL: Kama wewe umewahi kukutana na Loose Balls pitia hapa. Dondosha kisa chako hapa

    Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?. NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
  4. Umewahi kukutana na Hali kama hii

    Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
  5. W

    MDAU, Ni mara ngapi umewahi kukutana na vifungashio vyenye taarifa binafsi za watu?

    Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili...
  6. JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  7. Nimeacha pilau ndani nikijua naenda kukutana na Berger/pizza

    Cha ku suprise nimeenda kukutana na ugali ndondo
  8. Je, uko tayari kukutana na Tume ya Uchunguzi wa yaliyotokea Oktoba 29 2025?

    A. Hapana..! Kwanini B. Ndio.. Kwanini
  9. Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  10. H

    Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  11. PostGE2025 Mpoto yule akikutana na huyu watatoana damu nakwambia! Baada ya kwenda mjini kukutana na Mjomba akatusaliti!

    Wakuu, Mpoto huyu alikuwa wa moto bwana, inspiration kwa wengi, hata ambao tunapenda kuandika tulikuwa tunapata madini ya kuongeza nondo kwenye articles, mashari, na analysis mbalimbali Mpoto huyu alikemea rushwa na wale wote wanaotafuna kodi za wananchi kwa nguvu zote. Alionyesha wazi...
  12. 4

    Ombi mahalumu la kukutana na IGp , CDF , mkuu wa usalama wa taifa ikiwapendeza sio lazima.

    Wakuu kwema katika jina yule atupatiae mkate wa kila siku. Mimi ni mtanzania tena maskini tu wa kutupa ila najivunia nao maana vidole siku zote havilingani. Rejea mada tajwa hapo juu natamani kukutana na wakuu tajwa hapo juu sio kwa nia mbaya bali kutoa ushauri wangu binafsi juu ya uchaguzi...
  13. Hujawahi kukutana na hii screen halafu unataka kuniscam, unaanzia wapi kwamfano?

    Busara zinaendana na enzi... Nyani mzee amekwepa mishale mingi Tujuane wazee waptrick.com, site gani ingine ulikuwa inaitembelea kupitia opera mini?
  14. Umewahi kukutana na huu Ujumbe..?

    Wakuu, kwa wale mliwahi kuomba "Vacancy transfer" Mshawahi kukutana na huu Ujumbe kama Mimi..? Hawa watu waliotengeneza huu mfumo ni mashujaa sana 😂
  15. Zelensky asema yupo teari kukutana na Putin Moscow ikiwa atapatiwa hakikisho la usalama.

    Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
  16. Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?

    Mshahara wako wa mwezi una uwezo wa kukutana na mshahara wa mwezi mwingine ?? Funguka
  17. Trump, Putin kukutana Alaska kwa mazungumzo ya vita vya Ukraine wiki ijayo

    Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Urusi Vladimir Putin watakutana Alaska Ijumaa ijayo kujadili mustakabali wa vita vya Ukraine. Trump alitangaza mkutano wa Agosti 15 kwenye mitandao ya kijamii na baadaye ikathibitishwa na msemaji wa Kremlin, ambaye alisema eneo hilo lilikuwa "lina mantiki...
  18. J

    Trump na Putin kukutana wiki ijayo

    Naibu balozi wa urusi katika umoja wa mataifa Dmitry Polyanskiy amesema Rais wa Urusi Vladimir Putin huenda akakutana na Rais wa Marekani Donald Trump Hatua hiyo inaleta matumaini makubwa katika kumaliza mgogoro unaendelea kati ya Urusi na Ukraine, licha ya kutokuwepo kwa taarifa rasmi za...
  19. H

    Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
  20. M

    CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…