kuku

  1. JamiiForums Tanzania Hayati Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu enzi za ujana wake

  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
  4. JamiiForums Tanzania Kuku wa jirani kaingia jikoni kwangu na mlango umejifunga

    Wakuu ikiwa leo ni tarehe 31 mwezi wa 12, muda mfupi kabla ya mwaka mpya kuna kuku wa jirani, tena kuku kweli kweli ameingia jikoni kwangu na mlango umejifunga akiwa ndani, hapo nifanye nini? Chumvi, vitunguu, mafuta, ndimu, pilipili mkaa na viungo vingine vipo.
  5. JamiiForums Tanzania Nauza kuku wa mayai (layers)

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi. LOCATION: DODOMA
  6. JamiiForums Tanzania Ukiona Mkeo / Demu wako anapenda sana Kupanda Pikipiki ( BodaBoda ) jua imekula Kwako na UKIMWI hauko mbali Kukufikia

    Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane. Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mikate ya maji iliyochanganywa na kuku

    Habari wadau wa mapishi, wapenda misosi mitamu. Leo nawaletea pishi hili tamu sana baada ya kulionja nikaona niwaletee na nyie ndugu zangu wa JF ili mkapike nanyi mfaidi kama mimi nilivyofaidi. Basi nisiwachoshe naomba mfatane nami katika maandalizi haya mpaka mtatoa kitu murua. Viamba...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

    Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk Bei za vifaranga: Umri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…