Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka niitumie ila kuna watu wameniambia kuwa si nzuri kama ya mbuzi au ng'ombe, wanasema eti inainguza...