Jifunze namna gani uongeze utagaji kwa kuku wako

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
SULUHISHO LA KUKU KUPUNGUZA KUTAGA

1. Wakague kuku wako na ukiwakuta wana utitiri au viroboto waogeshe kwa FIPROFARM AU TUMIA AKHERI POWDER
2. waongezee GLP katika chakula chao na Tumia LAYVITA
(vitamin mahususi kwa kuku wanaotaga) kwa ajili ya kuzuia tatizo la upungufu wa virutubisho
3. Wapatie kuku wako wanaotaga PIPERAZ kwa ajili ya Kuangamiza minyoo mara moja kila mwezi.
4. Hakikisha kuku wako wanapata mwanga kwa siku masaa 12 mpaka 14 na ikibidi wawashie taa ili kuwaongezea masaa yakupata mwanga kwa siku.
5. Hakikisha kuku wako wanaotaga unawapimia chakula na kuwapa kila mmoja gram 120-130 kwa siku (kilo 1.3 ya chakula kwa kila kuku 10) na hakikisha nafasi baina ya kuku wako inatosha yaani kila mita za eneo(sq meter) 10 kwa kuku 40-50 kutegemeana na ukubwa wa kuku

Ungana nasi
Telegram "farmersdesk"
Instagram farmersdesk -tanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom