kuku

  1. I

    Nikipeleka kuku chotara kijijini nitapata matokeo mazuri?

    Wakuu hivi kwa mazingira ya kijijini ambapo kipato cha wengi ni cha chini, kuku wa chotara wataweza kuboresha maisha ya mwanakijiji? Na kama sio hao, je ni kuku wa aina gani ni chaguo bora zaidi?
  2. M

    Twaha Mwaipaya apata dhamana

    Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya amepata dhamana usiku huu. Twaha amedhaminiwa na watu wawili, Jeshi la Polisi limemtaka kuripoti Julai 08, 2022.
  3. Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  4. Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  5. Kuku aina ya sasso wanauzwa

    SASSO WANA MIEZI MITATU NA WIKI MMOJA. WAPO 40 BEI 12,000/= WANAFAA KWA NYAMA NA KUFUGA BAGAMOYO ZINGA KWA MTORO CALL 0788682714
  6. Sales Representatives at Kuku Project Tanzania Limited

    Sales Representatives (3 Positions) Kuku Project Tanzania Ltd Kuku Project Tanzania Ltd incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 which operates as financial institution since 2008 whose principal business activities are provision of different Agriculture facilities to individuals and...
  7. Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  8. Nielekezeni mapishi Bora na ya kuvutia ya miguu ya kuku

    Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza. Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia. naombeni maelekezo tafadhali
  9. Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  10. Dawa ya mafua ya kuku

    Wakuu habari za muda huu, naomba kama kuna mtu anajua dawa ya kuwapa kuku wenye mafua. Wanakohoa na kusinzia. Natamani kujua dawa yoyote,hata kama ni za miti. Ni kuku wa kienyeji. Natanguliza shukrani
  11. K

    Lipo wapi Soko la kuku wa kisasa DSM

    Nataka nianze kufuga kuku hawa wa kisasa wa mwezi mmoja, soko nitalipata wapi niwe nauza kwa jumla. Nataka nianze na kuku 200 kwanza. Kuna mtu aliniambia Shekilango, sasa anaejua utaratibu wa Shekilango tafadhali aniambie.
  12. Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  13. Natafuta namna ya kusafirisha kuku kutoka Kahama kwenda Dar es salaam

    Natafuta usafiri wa kusafirisha kuku kutoka Kahama hadi Dar es salaam kwa bei pouwa na kwa usalama mkubwa
  14. Uhusiano wa utitiri na misiba wafugaji wa kuku hasa wakienyeji wataelewa

    Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana. Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
  15. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  16. Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Waungwana Habari!! Kwa wafugaji wa kuku naombeni kupewa miongozo ya upatikanaji wa hiyo mbolea kiasi cha gunia kama 30 hivi. Naomba vitu vitatu nivijue Mosi, wapi ilipo hiyo mbolea niifuate Mbili, bei ni kiasi gani kwa gunia? Ni lini naweza kuanza kuifuata hiyo mbolea Nakutakia Jumapili...
  17. Marination nzuri kwa nyama choma mbuzi, ng'ombe au kuku

    Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote. Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
  18. M

    Nauza kuku aina ya sasso

    Habari wakuu. Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150. Bei 12000, maelewano yapo. Simu 0755868463. Karibuni.
  19. Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

    Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
  20. Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…