Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka.
Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.
Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025...
Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake.
Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia.
Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari.
Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili.
Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana.
MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE.
BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni.
Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali.
Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
Mwanafunzi wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya msingi Mnini iliyopo kata ya Uru Mashariki wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro anayefahamika kwa jina la Izack Mushi (12), amefariki dunia kwa madai kuwa amejinyonga kwa kamba muda mfupi baada ya mwalimu wake katika shule hiyo...
Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM?
Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.