kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania TFF yaufungia uwanja wa Mkwakwani kwa kukosa vigezo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyohitajika kwa matumizi ya viwanja vya mpira. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haikidhi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yesu na manabii hawakushiriki siasa ila walikemea ilipoumiza watu, visingizio kanisa haligusi siasa ni kukosa upendo, ni kuvunja amri kuu ya Yesu

    Wasabato MPO ? Tag MPO ? Moravian MPO ? Eagt MPO ? Mwamposa mnasikia ?
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusomewa shitaka lake, Tundu Lissu aweka pingamizi dhidi ya hati ya mashitaka ya kinachoitwa "kosa la uhaini" kukosa uhalali wa kisheria

    Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025... Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Giza totoro Cuba nzima kwa Kukosa umeme Septemba 10, 2025

    Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika licha ya halmashauri zote nchini kutoa

    Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao. Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Polepole akaishi kwa kukosa amani bali kwa kujificha for fear of unknown maisha yake yote

    Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
  14. winnerian

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Alaghahiwa na Wi-Fi ya uongo ya uwanja wa ndege, apoteza fedha na kukosa ndege

    Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari. Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili. Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
  20. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
Back
Top Bottom