kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  2. M

    Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  3. Chizi Maarifa

    Kwa wale wenye changamoto za kiuchumi na kukosa wanaume wanione mimi please

    Yes, udugu ni kufanana walisema waswahili. Nimeona niweke hili wazi sababu najua kuna watu wanachangamoto hizo za kiuchumi na pia kukosa mwanaume shababy mwenye uwezo kiuchumi na kimahusiano. Ni rahisi tu. Nione mimi. Wala usihangaike. Hakikisha unaniona mimi. Mimi napatikana nchi mbalimbali...
  4. Richard

    Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  5. M

    Mwabukusi: Kutokufaulu mithani wa uwakili ni kukosa uadilifu, siyo kuonewa

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
  6. Idugunde

    Kudai katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na haki ili taifa likae sawa ni kukosa hoja ? Mbowe bado kibaraka wa CCM

    Nimeona mitandaoni juu ya kauli hii ya Mbowe kuwa CHADEMA ya sasa chini Lissu haijengi hoja kama ilivyokuwa akina Mtei na Bob Makani. Hii sio kweli kabisa. Sasa Hivi Lissu na Heche ndio wanahoja za mashiko. Kwa katiba hii ya CCM ambayo hata mtu hajapigiwa kura anakuwa madarani utaingia ikulu...
  7. M

    Gari ngumu zinazopendwa na watu wenye vipato vya kawaida, huna haja ya kuwa na namba za mafundi, Kwenda Gereji ni service tu

    MAGARI YANAYOANZIA MWAKA 2000 NA KUENDELEA 1. Rav 4 - Kilitime Premio 240 Carina TI
  8. M

    Ujerumani: Makanisa yabadilishwa matumizi baada ya kukosa waumini

    Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa waumini kwa mara ya mwisho kabisa. Kwaya iliimba huku kinanda kidogo kikitoa hamasa wakati wa uimbaji...
  9. Fbn

    Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  10. The Burning Spear

    PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  11. F

    Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  12. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  13. tonicimmobility

    TFF yaufungia uwanja wa Mkwakwani kwa kukosa vigezo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyohitajika kwa matumizi ya viwanja vya mpira. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haikidhi...
  14. S

    Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
  15. M

    Yesu na manabii hawakushiriki siasa ila walikemea ilipoumiza watu, visingizio kanisa haligusi siasa ni kukosa upendo, ni kuvunja amri kuu ya Yesu

    Wasabato MPO ? Tag MPO ? Moravian MPO ? Eagt MPO ? Mwamposa mnasikia ?
  16. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  17. sanalii

    Kumtukana Millard Ayo kwa udhalimu wa serikali ni kumuonea na kukosa mbinu

    Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person. Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na watu kama kina diamond, hata kama kalipwa kupost baadhi ya vitu kama kampeni za CCM au kutopost baadh...
  18. The Palm Beach

    Baada ya kusomewa shitaka lake, Tundu Lissu aweka pingamizi dhidi ya hati ya mashitaka ya kinachoitwa "kosa la uhaini" kukosa uhalali wa kisheria

    Baada ya majaji wa High court kukataa mapingamizi yote ya Tundu Lissu juu ya uhalali wa mahakama kuu kuendelea kusikiliza shauri hili, hatimaye amesomewa shitaka lake la uhaini leo 15/9/2025... Baada ya kusomewa shitaka, swali kwa mshitakiwa kikawaida huwa ni KWELI au SIO KWELI. Kwa kimatengo...
  19. R

    Giza totoro Cuba nzima kwa Kukosa umeme Septemba 10, 2025

    Kwa mara nyengine, Cuba imekosa umeme nchi nzima kutokana na uchakavu wa miundombinu na uhaba wa mafuta kwenye mitambo ya nishati katika taifa hilo la Karibiki. Tukio hilo la jana ni la pili kwa mwaka huu, likitanguliwa na matukio ya aina hiyo mwaka jana. Wizara ya Nishati na Madini imeandika...
  20. JanguKamaJangu

    DOKEZO Responded Wanawake walia kukosa mikopo Tanganyika licha ya halmashauri zote nchini kutoa

    Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao. Wanawake hao akizungumza hivi karibu wamesema kukosa fedha za mikopo unazorotesha maendeleo yao, huku wakishangaa...
Back
Top Bottom