kukatika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya mwanauke kukata kiuno au kukatika wakati achezapo ngoma

    Kuuliza si ujinga. Nauliza kutokana na kichwa cha habari kuna siri gani wadada wanapokata au wanapoonekana wanacheza ngoma,huwaga kama wanashindana ,sielewi ndio kuwa uyaone au uyajue. Na mara nyingi wanawavutia watazamaji wengi tu.kuna siri gani ,wataalamu tuelimisheni.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika kwa Umeme

    Hii kero ya kukatika kwa umeme, kwanini isifike wakati tuangalie uwezekano wa kutengeneza miundombinu ya uzalishaji wa umeme wa jua kwa ukubwa au vyanzo vingine mbadala kuliko kutegemea maji ambayo hupungua na kuongezeka.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uongozi TANESCO hayana maana kama bado umeme unaendelea kukatika

    Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu. Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta?

    Kwa nini umeme unakatika kila muda au serikali mnataka kuuza majenereta nini chanzo cha kukatika umeme maana wananchi tunateseka sana mboga zetu zinachacha kwenye mafriji sisi wafanya biashara wa vinywaji tunapata shida sana skuizi
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  10. Exile

    JamiiForums Tanzania Hivi hizo tozo za jengo zinafanya kazi gani? maana umeme kutwa kukatika

    Wakuu juzi tu hapa wameongeza kodi ya mita za luku kutoka 1000 hadi 1500 inamaana kwa siku za tarehe 1 ukinunua umeme wa 5000 unapata unit 9, inamaana inakua umenunua umeme wa 3500. Kinacho sikitisha na kuchosha ni kukatika kwa umeme hovyo, sasa nyie wizara ya nishati hizo hela mnazotukata...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni sababu ipi kati ya zifuatazo inapelekea Umeme Kukatika Mkapa Stadium Mechi zikiendelea?

    1. Meneja wa Uwanja anatafutiwa sababu aondolewe na awekwe anayetakiwa na BMT Mpya 2. Ushirikina / Kutumia muda huo Kupuliza Dawa ( Sumu ) katika Vyumba vya Timu Pinzani ili iwalevye na wakirejea Uwanjani wawe Laini na Wachovu wapigwe Nyingi. 3. Ni hujuma ya kutaka Kuwachonganisha Mawaziri wa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Marumo Gallants FC niliowaona leo kuna Timu itafungwa kwao umeme kukatika Stadium na South Africa pia

    Kama leo umeshindwa Kuifunga Timu Dhaifu kutoka Nigeria (japo Ulibahatisha) Kumfunga Kwao (huku Wewe leo ukiwa Nyumbani) ndiyo uweze Kupambana na Klabu isiyotaka Masihara katika Hatua hii na Michuano hii ya CAFCC Marumo Gallants FC? Kutokana kuwa na Ndugu na Marafiki zangu kutokea Mji wa...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  15. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikataza maji na umeme kukatika

    Pamoja na mvua kunyesha maeneo ya Pwani bado maeneo mengi hakuna maji; it's like kuna mgao zaidi ya mwezi sasa. Ila magari yakuuza maji yanaongezeka mjini that means wapo watu wanahujumu juhudi za serikali kusambaza maji ili wao wauze maji. Matokeo yake ni haya kila siku Bomba limepasuka ...
  16. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika kwa umeme

    Hadi sasa sijaona barua rasmi kutoka TANESCO ya kuomba radhi au kutoa sababu za kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku nzima katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya UBUNGO hapo jana tarehe 20 January, 2023. TANESCO
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana wa hovyo Ibu aliyemaliza wadada wa mtaa wote kisa alikuwa anavaa shanga na kukatika viuno kwenye tendo

    Ni miaka ya 2000/2001 huko wilayani kwetu jamaa mmoja aliyeitwa Ibu aliibua taharuki mtaani baada ya kubuni style ya kuwavutia wadada. Alikuwa akivaa shanga na kukatika viuno vya kiwango cha SGR. Sasa kila dada akipitiwa anaweza kusimulia kuwa Ibu ni moto wa kuotea mbali. Basi wakawa wao ndio...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Matatizo ya Umeme kutengemaa ifikapo Februari 2023

    ITIHADA ZILIZOFANYIKA ZA KUKABILIANA NA HALIYA UPUNGUFU WA UMEME Mnamo siku ya Jumatano, tarehe 23 Novemba 2022. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya hali ya upungufu wa umeme pamoja na kueleza jitihada za muda mfupi, wa kati na mrefu zilizopangwa kuchukuliwa iii kukabiliana...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Mheshimiwa Rais, kukatika umeme ni changamoto kubwa sana

  20. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Mgao unaoendelea wa umeme, ni furaha kubwa kwa Mitandao ya Simu

    Huu mgao wa umeme unaoendelea kwa kasi, umesababisha wengine tutumie simu za mkononi kuangalia mpira, jambo ambalo linatugharimu sana sisi wapenzi na watazamaji wa mpira wa miguu. Vifurushi vimepanda bei, mafuta yamepanda bei, in short maisha kwa ujumla yamepanda juu. So, Mgao unaoendelea wa...
Back
Top Bottom