kukata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Senegal imeapa kukata rufaa ya uamuzi wa CAF kuwapoka ubingwa wa AFCON 2025

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025 FSF imepinga rasmi uamuzi huo ambao wanaona hauna msingi wa kisheria, upo kiholela na hauna uwiano. FSF inaamini kuna Ukiukaji...
  2. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  3. MK254

    Wanajihadi wa Jama'at Nusrat al-Islam wa al-Muslimeen waua madereva kwa kukata koo zao

    Shirikisho la Kimataifa la Wafanyakazi wa Uchukuzi (ITF) limeitaka serikali ya Mali kuchukua hatua baada ya wimbi la mashambulizi mabaya ya msafara kuwalenga madereva wa malori ya usafirishaji mafuta. 'Wafanyikazi wa usafiri ni muhimu ili jamii zihudumiwe - haistahili waachwe bila ulinzi', ITF...
  4. Ma mbwa

    JINSI YA KUKATA KIUNO KITANDANI

    sifa kubwa ya mwanamke ni nyonga ndo maana mungu amewapendelea na kuwapa nyonga nzuri na zenye mvuto..na nyonga nzur na zenye mvuto shart zijuwe kukatwa bibi. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi kabisa kuwa mimi ma mbwa ni mwanamme na mada niliyotoa siku za nyuma watu walihisi ni jinsia ya ke😀😀...
  5. A

    KERO Songea: Changamoto ya maji Eneo la Mkuzo imekuwa kero, mamlaka ya maji inafungua usiku saa 9 na kukata saa 11 alfajiri

    Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali inayowaathiri wananchi wengi kushindwa kupata huduma kwa wakati unaofaa. Ni vyema wakajirekebisha na...
  6. Chura

    KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  7. The Father of All

    PostGE2025 Aliyetishia kukata watu vichwa kaishia wapi? Ameshtakiwa?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa? Je, nani anawatuma na kwanini? Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho ? Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa? Kwanini serikali...
  8. M

    PostGE2025 Kutishia kuua kwa maneno ni kosa la Jinai. Sheikh aliyetishia kukata vichwa watu kwa majambia anapewa onyo!

    Kifungu cha 89 2(a) cha kanuni ya adhabu kimeweka wazi kabisa kuwa kutishia kuua ni kosa na mtu anapaswa kufungwa mwaka mmoja. Mbona huyu sheikh amepewa kadi ya njano na huku amefanya makosa? Pia soma > Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani
  9. Bani Israel

    Uislamu unamkataa Sheikh aliyehamasisha kukata vichwa. Masheikh wenzie walaani

    Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh. Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au mtu yeyote aliyepewa ruhusa na Allah kusimamisha uhai wa mtu au kukataza jambo kwa kutumia njia ya...
  10. M

    Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
  11. Chizi Maarifa

    GE2025 Ugomvi wa Zitto na Magufuli ulianzia kwenye Kukata Mirija ya Ulaji kwa Zitto

    Zitto hakutoka siku wenzie wanatoka kumkataa Magufuli. Why? Aliamini Magufuli ataendeleza kama alivyokuwa anafanya kikwete. Kumpatia fungu, pesa za kujikimu. Magufuli alikuwa anajua Zitto anatumika na Kikwete akamlia bati na hakumtaka maana siku zote Magufuli alikuwa akimdharau sana Zitto. Hapo...
  12. GENTAMYCINE

    Kumbe Mgombea wetu anajua pia Kucheza mziki, achilia mbali Kurembua na kukata Viuno hata akiwa ameketi Kitini?

    Nimesema Mgombea na sijataja Jinsia wala eneo au nchi sasa Wewe jipendekeze ujae katika 18 zangu nikunyooshe Oky?
  13. nipo online

    Nimeibiwa baiskeli, kukata RB polisi bei gani?

    Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
  14. B

    Maziwa ya mama kukata ghafla

    Habari wanajamvi. Kuna mama ana mtoto wa miezi 4 na amepatwa na hali ya ajabu maziwa ya kumnyonyesha mtoto yamekata ghafla. Hii hali inasababishwa na kitu gani maziwa ya mama yakate ghafla?
  15. Pascal Mayalla

    Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini

    Wanabodi Hu ni mwendelezo wa ushauri kwa Balozi Humphrey Polepole,nimeisikia ile sauti ya The voices from within kuwa, Balozi Polepole atavuliwa hadhi yake ya ubalozi!, hivyo ubalozi wa Polepole ni kwaheri!。Na akiisha vuliwa ubalozi, then atashughulikiwa kikamilifu!. Mtu huwezi kukata tawi la...
  16. kyagata

    Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

    Mko poa? Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1? Kuna agenda yoyote ya siri?
  17. Roving Journalist

    CCM yakanusha kukata majina ya waliochukua fomu

    Chama Cha Mapinduzi(CCM)Kimekanusha taarifa zinazoesambaaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna baadhi ya watia nia wa Udiwani na Ubunge majina Yao yamekatwa huku wengine wakifanikiwa Kupita katika mchakato wa uteuzi Akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Julai 13,2025 Jijini Dodoma Katibu wa...
  18. M

    Faida za kukata pembe kwa ng'ombe (dehorning)

    Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):* --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning) --- 🔍 Dehorning ni nini? Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au ng’ombe ili kuboresha afya, usalama na ustawi wa mifugo. --- 🗓️ Muda Sahihi wa Kukata Pembe: ➡️ Wiki...
  19. R

    GE2025 Aliyeenguliwa kuwania Urais ADC, Mutamwega Mgaywa amekusudia kukata rufaa

    Siku moja baada ya Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) kumpata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar, kada wa chama hicho na aliyewahi kuwa Mbunge wa Mwibara mkoani Mara, Mutamwega Mgaywa amekusudia kukata rufaa kwenda Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa, kupinga mchakato huo Msingi...
  20. M

    Faida ya kukata mikia nguruwe (Piglet ) wako

    📌 Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets): Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako. 🗓️ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa. 👉 Zoezi lifanywe mapema kabla ya mfumo wa neva kuwa na hisia kali, na kabla ya mikia kuanza kuwa migumu. --- ✅ Faida Muhimu...
Back
Top Bottom