kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  3. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  4. I

    JamiiForums Tanzania Unapochagua Laptop, Hii Ndiyo Kitu Ambacho Kila Mtu Anapaswa Kujua

    “Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof.” Uzi huu unalenga watu wanaogopa kununua vifaa vya kielektroniki kwa sababu ya kutokuelewa vizuri, na unaleta uaminifu na ufahamu. Tech Doesn’t Have to Be Complicated. Here’s Proof. Wengi wetu tunahitaji laptop au desktop — kwa kazi, shule...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunaomba kujua hivi vyama ambavyo vinatoa tamko kila kukicha

    Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubali uwezo wa Rais. Sijui chama cha mapimbi na n.k Hivi vyama vina uwezo gani yani leo Dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  8. JamiiForums Tanzania WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya huu ubao

    Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ufanyeje ili ukiwa nje ya Tanzania Laini yako ya Simu isifungiwe na ukirejea Tanzania uendelee Kuitumia?

    Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku. Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua

    Mtu akichelewa kufata barua ya Ajira, Dodoma. Ndani ya mwezi je akifata atapewa
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Wenye uelewa na hili swala Nina mbuzi wangu 80
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  16. JamiiForums Tanzania X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

    Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo cha afya kolandoto

    Habari za Leo wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo nasikia...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo Cha afya Kolandoto

    Habari za jumapili wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…