kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM

    Nahitaji kujua elimu ya Lesle Dulle mgombea wa ubunge kupitia CCM
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida wanayopata NBC

    Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao. Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu...
  4. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

    Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani. Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea. Natangauliza shukrani.
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli wa mishahara ya BRELA

    .... Uzi ifutwe .... Moderator please delete
  7. JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Jinsi ya Ku-Activate Call Recorder Mode Kwenye Truecaller Premium Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza ku-activate call recorder kwenye app ya Truecaller Premium Wakuu...? Natanguliza shukran.
  8. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Unapata kipato chako mfano laki tano kwa mwezi, mtu anakuambia pesa yako hii bila kujua unawalipa watu wengine wewe hujilipi, swali la kujiuliza kwani hii laki tano si ya kwangu najilipaje sasa wakati laki tano hii ni yangu? Ni kweli yako lakini sasa katika laki tano mfano utagawa mahesabu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua au kuwa nayo magunia ya katani

    Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nahisi nimetukanwa kwa lugha ya Kirusi, nisaidieni kujua maana yake

    Salaam! Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe. Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями? Natanguliza shukran!
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua maana ya kabambalu

    Nahitaji kujua maana ya kabambalu wadau
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Property Manager ngazi ya Diploma

    Wakuu Habari za muda huu! Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi. Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa. Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  14. JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

    Wakuu, Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe. Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi. Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

    Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema. Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania. Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu. Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya: Kipawa, Kipaji, Karama

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kupata ufafanuzi/maana na tofauti ya maneno haya ya Kiswahili:- 1. Kipaji 2. Kipawa 3. Karama Natanguliza shukrani.
  18. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nani mwingine mwenye shauku kujua kuhusu mwendelezo wa ligi kuu wiki hii

    Baada ya heka heka za kalenda ya FIFA kwa michezo ya mataifa mbali mbali kuisha, wiki hii ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena. Binafsi nilimisi sana soka la timu ya Yanga ya msimu huu hasa likitangazwa na Mpenja. Nani unautaka, Bangala. Nani unautaka, 'Mwamnyeto.'Nani anautaka 'Aucho dokta...
  20. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kujua historia ya unayetaka kuanza naye mahusiano

    Wasalaam wapendwa wa MMU. Kumezuka na msemo maarufu wa vijana haswa wa kike 'unataka kuwajua maEX wangu, unataka kuwanunulia gari?' Huu msemo una nia ya kupotosha. Zaidi, kuwatia watu katika mahusiano yatakayoandamwa na changamoto nyingi. Nakusihi, ni vema kujua historia ya mahusiano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…