kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwani Samia si ajiuzulu tu

    Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Latvia Evika Silina atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Siliņa, ambaye ni kiongozi wa mrengo wa kati-kulia, alitangaza uamuzi...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kutokana na vifo zaidi ya 500, baadhi ya viongozi wa juu wa serikali na vyombo vya ulinzi walipaswa kujiuzulu.

    Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa dhana ya uchawa, Prof Kabudi ajiuzulu kama Yule wa US

    Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
  6. JamiiForums Tanzania Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

    Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza. Polepole alitoa barua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu

    Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais. Hatua hiyo inafungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27...
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mshaurini Wanu ajiuzulu angalau kupoza kipengele hicho

    Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake. Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
  15. JamiiForums Tanzania Je Samia amekataa au kushindwa kujiuzulu au analazimishwa kuendelea kubomoa nchi asiwe na pa kukimbilia?

    Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na akaumia. Binadamu hukosea. Hata hivyo, hakuna kosa kama kuendelea kung'ang'ania au kurudia kosa...
  16. JamiiForums Tanzania Waafrika kujiuzulu kwao huwa ni kama kifo ni Msamiati mzito Kwao

    Nilitegemea kwa mambo yaliyotokea October 29 basi nilitegemea kuona watu wakijiuzulu lakini wapi bado wamo. Bado ni neno kujiuzulu kwa Tanzania ni kama msamiati ni kama kifo Msamiati mgumu sana hapo...
  17. JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Skauti wa Simba Mels Dalder ajiuzulu kwasababu haioni nafasi yake ndani ya Klabu

    Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni kama anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…