kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  2. Echolima1

    Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  3. K

    Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

    Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza. Polepole alitoa barua...
  4. Lycaon pictus

    Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
  5. G

    Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  6. The Father of All

    Je Samia amekataa au kushindwa kujiuzulu au analazimishwa kuendelea kubomoa nchi asiwe na pa kukimbilia?

    Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na akaumia. Binadamu hukosea. Hata hivyo, hakuna kosa kama kuendelea kung'ang'ania au kurudia kosa...
  7. baz kaiza

    Waafrika kujiuzulu kwao huwa ni kama kifo ni Msamiati mzito Kwao

    Nilitegemea kwa mambo yaliyotokea October 29 basi nilitegemea kuona watu wakijiuzulu lakini wapi bado wamo. Bado ni neno kujiuzulu kwa Tanzania ni kama msamiati ni kama kifo Msamiati mgumu sana hapo...
  8. Just Pray

    Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  9. Life2

    Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  10. S

    Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
  11. Maxence Melo

    Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
  12. kavulata

    Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
  13. tonicimmobility

    POTOSHI Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka 2025?

    Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka huu?
  14. S

    GE2025 Kama Serikali itamkamata Polepole kwa ajili ya barua ya kujiuzulu na kauli zake, basi huo ni udhihirisho kamili kwamba tuna serikali ya kidikteta

    Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya kazi na serikali inayokiuka taratibu? Au serikali yenye makandokando yasiyoeleweka kuhusu utekaji na...
  15. S

    Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  16. Five55

    GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

    Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi kwa kusema mambo Saba (7 ) ikiwa sita ni ya kufikirisha kwa kuzingatia historia ya Balozi Polepole...
  17. R

    Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  18. L

    Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania , Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake. Nitajibu kwa kufafanua kwa undani kabisa na kuonyesha Unafiki wake wa Kiwango cha juu alichoonyesha kupitia...
  19. Daraja2

    Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo

    Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo. Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi". Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi wake (mwenye kofia 2). Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Neno sahihi "polite language"...
  20. GENTAMYCINE

    Kukubali uteuzi wa mtu usiyempenda na kumuamini kisha baadae unajiuzuru ghafla si ni unafiki?

    Mwaka jana hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilikuja na Uzi wa kuwataka Watu kutokuwa WAOGA na WANAFIKI kama WAKITEULIWA kwa NAFASI zozote zile Duniani na Watu ambao HAWAWAPENDI, HAWAWAAMINI na wanawaona ni MAFISADI, WAUWAJI na siyo WAZALENDO kwa Taifa husika. Wote wamekutana ni WANAFIKI...
Back
Top Bottom