Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Hii barua Ina kasoro kubwa sana ikiwemo hiyo.
Hapo amempa Amri "mwenyekiti" atekeleze Amri husika ,hili ni kosa la "kiufundi".
Utovu wa nidhamu alioonesha ni Kama vile amepishana kauli na bosi wake (mwenye kofia 2).
Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza.
Neno sahihi "polite language" ilitakiwa "OMBI LA KUJIUZULU............"
Neno aliloanza nalo la kumpa AMRI ilitakiwa aambatanishe na kujivua kabisa uanachama ili wasikutane tena serikalini Wala chamani.
Kama ni michezo yao (drama) ya kutushika AKILI basi yupo sahihi ili apate afua zake Stahiki (baada ya kujiuzulu)
"Akili za kuambiwa changanya na zako"