kujifunza

  1. L

    Afrika inapaswa kujifunza mbinu za China za kutokomeza ugonjwa wa malaria

    Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
  2. S

    Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

    Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
  3. Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

    Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa. 1.Mpira ni uwekezaji...
  4. M

    Marekani hajawahi kujifunza: Kufanya kitu kile kile ambacho hakijaweza kumletea matarajio aliyotegemea. They are not pragmatic!

    Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia maendeleo ya nchi inazozihofia kwa kuziwekea vikwazo kwa matumaini kwamba zitadhoofika kiuchumi na kuzifanya zisiendelee kijeshi hata kuzifanya zisiwe tishio tena. Mategemeo yake ni kuwa zitakuja kumpigia magoti na kumwabudu kana kwamba kuwepo kwao kunategemea...
  5. Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

    Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
  6. Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

    JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D. Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender. Week hii nmefanya kazi moja ya kutangaza bidhaa ya mteja kwa kumdizainia flyer, logo na Motion graphic ya bidhaa yake...
  7. U

    Ni kampuni gani nzuri ninayoweza kujifunza masuala ya crypto, kununua na kuuza kwa uhakika?

    Basi usijali ilinichukua mda sana kujifunza na nkafanya uchunguzi ni sehemu gani sahihi ambayo mtu anaweza kununua na kuuza cryptocurrency. Basi jawabu lenyewe ni coinsmart. Hili ni kampuni linalijihusisha na masuala ya kuuza na kununua crypto lakini pia utaweza kujifunza mengi zaidi. Ukiwa na...
  8. Watanzania wengi hatupendi kujifunza. Mitandao, na hasa YouTube ni darasa Tosha

    Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube? Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na nishapata Sana hela kwa ajiri ya kusolve matatizo ya cm,pc nk. Watanzania baadhi ya wengi tuko nyuma...
  9. B

    Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  10. Yanga iongeze bidii kujifunza kwa Simba Sc

    KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa. Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Wanatamba kuwa watafanya vizuri na kufika mbali. Wanatamba kuwa wao ni bora kuliko timu yoyote nchini...
  11. B

    Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

    Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati. 4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
  12. Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  13. Kuhani Musa Richard Mwacha ni Mwalimu bora kwa kizazi hiki kisicho na usikivu, kabla ya kukubali au kukataa tafuta kumjua na kuujua ukweli kwanza

    Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua 1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
  14. Ni kitu gani muhimu zaidi katika maisha?

    Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
  15. Ni rahisi kujifunza ushirikina kama utakuwa mfuasi wa waganga wakienyeji

    Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote? kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
  16. L

    Kinachoikuta Congo DR tuna jambo la kujifunza

    Tumeona jinsi ambavyo DRC anahangaika na waasi kwenye eneo lake la mashariki. Je, sisi kama taifa tuna mikakati Gani ya kulinda maeneo yetu ya magharibi Kwa matukio kama haya? Au tunajiaminisha kuwa tupo salama muda wote?
  17. Namna China ilivyoweza kujiendeleza, Tanzania tuna yapi ya kujifunza?

    Habari za saa wanachama wote. Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi. Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
  18. L

    Waafrika wengi zaidi waanza kujifunza Kichina

    Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika. China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
  19. Tangazo la Raja Club Athletic linatangaza Utalii wa Tanzania, tunalo la kujifunza!

    Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…