kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  2. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa ina mawe mazuri ambayo yanaweza kujenga barabara na mitaro mpaka vijijini lakini tumeshindwa

    Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko. Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa

    Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja kuwa na pesa za kutosha kabla ya kuanza, na hii inaweza kupelekea kuchelewesha mipango yao ya...
  5. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania RAMANI ZA UJENZI, HESABAU NA KUJENGA.

    Nyie matajiri zangu bado mnataka kuendelea kulipa KODI? Una miaka 35 bado umepanga huna hata ramani ya nyumba ndani? Suluhisho nimelipata sasa nipo kwa ajiri yako wewe mwenye uhitaji wa haraka na usiye na haraka. Nitakupa ushauri kuanzia... 1. Kupata ramani aina gani 2. Namna ya kujenga 3...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  7. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Sifa za zege zuri kwa kujengea na Eng James

    Sifa za zege zuri kwa kujengea ni pamoja na: 1. Uimara: Zege linapaswa kuwa na nguvu ya kutosha kubeba uzito wa majengo na kuhimili mzigo wa muda mrefu. 2. Upinzani wa Maji: Zege bora huwa na uwezo wa kuzuia maji kuingia, hivyo kupunguza hatari ya kuoza au kuharibika kwa majengo. 3. Uwezo wa...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 bilioni 102 ziliidhinishwa kupelekwa kujenga chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere, Wamefikia wapi ?

    Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama. Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo likawekwa pendekezo la kukijenga vizuri. Kuna kinachoendelea ?
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Uislamu Ulivyounganisha Na Kujenga Umoja Wa Wananchi.

    UISLAM ULIVYOUNGANISHA NA KUJENGA UMOJA WA WANANCHI (DINI ILIVYOWAUNGANISHA WATANGANYIKA DHIDI YA UKOLONI: NAFASI YA DUA NDANI YA TANU VISOMO VYA QUR'AN NA DUA ZILIZOFANYIKA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA) Inategemea watu watakavyoitumia dini. Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  13. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga. Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao. Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
  15. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kosea Kujenga nyumba lakini usikosee kuoa

    Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya wiki iliyopita. Hata hivyo, ndani ya siku 3 tu baada ya ndoa hiyo, Toni Braxton aliwasilisha maombi...
  16. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kujenga Boma, nini kiatakiwa kufuata kati ya kuweka Madirisha ya Grill na Mageti ama kuezeka?

    Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lipo Homboza Msanga Zalala eneo unaweza kujenga au kuchimba mchanga ni tambalale

    Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

    Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
Back
Top Bottom