kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  2. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nawaelewa ambao Wanaanza kutafuta Pesa ndio wajenge na SIO kujenga ukiwa na kipato kidogo

    Kwanza kupanga sio jambo la ajabu au aibu. US zaidi ya watu wazima Mil 45 wamepanga. Wengi wanalazimisha kujenga wakiwa hawana kipato cha kueleweka wanaishia kuishi nje ya matarajio yao. Unakuta mtu anafanya kazi kkoo anajenga kisarawe kijijini KWA DC Machachari KWA gharama nafuu. Unakuta...
  4. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Kosea Kujenga nyumba lakini usikosee kuoa

    Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya wiki iliyopita. Hata hivyo, ndani ya siku 3 tu baada ya ndoa hiyo, Toni Braxton aliwasilisha maombi...
  5. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ukimaliza kujenga Boma, nini kiatakiwa kufuata kati ya kuweka Madirisha ya Grill na Mageti ama kuezeka?

    Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lipo Homboza Msanga Zalala eneo unaweza kujenga au kuchimba mchanga ni tambalale

    Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

    Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Standi ya Kisasa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya

    SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  10. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

    Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili. Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji Waamua Kujenga Sekondari Yao: Musoma Vijijini

    WANAFUNZI KUACHA KUTEMBEA KILOMITA KUMI KWENDA MASOMONI: WANAKIJIJI WAAMUA KUJENGA SEKONDARI YAO Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni vya Mayani na Tegeruka. Sababu zinazohamasisha ujenzi wa sekondari ya Kijiji cha Kataryo: (a) Kijiji cha Kataryo...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Kamanda wa Polisi Dar, SACP Jumanne Muliro aandaa Iftar kujenga umoja na mshikamano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga basi pita hapa

    +255624004650 Design and build services Tunapatikana Sinza Dar es salaam
  15. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado inaagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya rasilimali nyingi ilizonazo?

    Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  18. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Je, Gharama kiasi Gani inaitajika kujenga frame ya mita za mraba 40 Kwa kutumia mbao laini.

    Habari wana JF Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar. Karibuni...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

    Eti wakuu? Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali. Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
Back
Top Bottom