kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga reli SGR zitarudi baada ya muda gani kabla ya faida?

    Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli ya SGR lazima ituongezee mapato kuliko tutoa huduma, maana tanzania hatujaifikia luxury hiyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…