kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. brave Mwafrika

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  2. Kichwamoto

    Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  3. Sky Eclat

    Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
  4. beth

    Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  5. I

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  6. sonofobia

    Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

    Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso. Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga...
  7. Lady Whistledown

    Aga Khan kujenga kituo cha Saratani kwa Billioni 13.8 jijini Dar es Salaam

    HOSPITALI ya Aga Khan, Dar es Salaam, imezindua rasmi ujenzi wa Kituo chake cha kisasa cha Tiba ya Saratani kitakachonufaisha hadi watu milioni 1.7 katika mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza. Kituo hicho kitakachojengwa katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam, kitapokea hadi wagonjwa 125...
  8. The Assassin

    Maandamano Ufaransa kupinga kampuni ya Total kujenga bomba la mafuta la Uganda na Tanzania

    Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania. Wanafunzi hao na wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali ya Ufaransa kuizuia kampuni ya Total kujenga mradi huo...
  9. Lord Denning

    Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  10. The only

    Kampuni za kujenga kwa mkataba!

    Hizi kweli ziko genuine, wabongo tunajuana unaoneshwa ramani kali, jengo ghorofa kila kitu wanasema hela ndogooo how come, tupeane uzoefu.
  11. Lord Denning

    Hadi leo najiuliza, ilikuwaje tukajenga SGR kwenda Burundi na kuacha kuboresha TAZARA kuwa SGR ambapo tungefika Congo kirahisi sana

    Siku Saba zilizopita shirika la habari la Ujerumani DW wametoa makala nzuri sana kuelezea upekee wa Reli ya Tazara inayotoka Tanzania hadi Ndola nchini Zambia. Wameelezea upekee wa reli hii na namna inavyopita kwenye mbuga maarufu za Selous na Mikumi na inavyopita mwenye milima ya Iringa hadi...
  12. Mr sule

    Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  13. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  14. M

    Je, ni salama kujenga karibu na mgodi?

    Habari wakuu, Kuna kiwanja nimekipenda kiko umbali wa karibu km 2 kutoka kwenye mgodi. Nikiangalia material waliokusanya kwenye huo mgodi naona kabisa kwenye hiki kiwanja kushachimbwa chini kwa chini. Kama ni kweli kushachimbwa chini kwa chini je ni salama kujenga nyumba kwenye ardhi tabaka...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

    Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo. Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
  16. Daimler

    Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

    Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limedai kuwa, Mbowe...
  17. L

    China inasaidia kujenga mustakabali wa Afrika peke yake

    Giza lilipoingia nchini Ethiopia, jengo refu zaidi la Afrika Mashariki lilikuwa liking'ara, na matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yalikuwa yakionyeshwa kwenye ukuta wa pazia. Jengo hilo lenye urefu wa mita 209 ni makao makuu mapya ya Benki ya Biashara ya Ethiopia...
  18. L

    Serikali ya Tanzania yashirikiana na Kampuni ya China kujenga maabara ya kupima virusi vya Corona

    Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili. Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
  19. The Sunk Cost Fallacy

    Serikali, viwanja mlivyopanga kujenga vitakuwa na hadhi ya kuandaa AFCON au ni kuweka nyasi bandia tu?

    Habari wapenzi wa michezo. Serikali inasema kuanzia mwaka ujao wa Fedha itaanza kujenga viwanja mikoani na itaanza na mikoa 10. Ni jambo jema,sasa swali je hivi viwanja vitakuwa na standards za sports complex au ndio kufanya Bora liende kwa kuweka manyasi bandia basi? Nashauri serikali ianze...
  20. Aliko Musa

    Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
Back
Top Bottom