kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  2. JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

    Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba umefanikiwa huo ni ujinga na utoto hebu bdilisheni hiyo mindset zenu hizo. Juzi nilishuhudia uzinduzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara. Picha hizo ila...
  4. JamiiForums Tanzania Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

    Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa. Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha...
  5. JamiiForums Tanzania Wanangu msiogope kujenga, hapa nimetumia 6M

  6. T

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga nyumba kimasihara

    Wakuu heshima kwenye, Naamini mmestuka kidogo mkajua Uzi huu unafanana na Uzi wa Rikboy... hapana, hapa namaanisha NAMNA gani tunaweza kupata cement, nondo, tiles, mabati, fundi wa bei rahisi Ila anakazi nzurna vifaa vingine. Kumbuka unapochangia zingatia kutoka location, na gharama...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga. Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Saeed Abdullah Bakhresa, Mtanzania aliyejenga uwanja wa Lusail Qatar unaotumika Kombe la Dunia

    Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa. Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

    Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta. Nimeshuhudia wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake

    Serikali imesema inatambua umuhimu wa nchi kuwa na satelaiti na kwamba katika mwaka huu wa fedha imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani. Aidha, imesema ili kuwezesha kufikia azma hiyo tayari imeunda andiko dhana na kuunda timu ya watalaamu...
  12. JamiiForums Tanzania Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

    Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo. Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza? Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango. Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la...
  13. JamiiForums Tanzania Bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilipangwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera

    Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
  14. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea kwa Kishindo. Bil 165 kujenga uwanja wa kisasa Dodoma. Mama Samia anaupiga mwingi

  15. L

    JamiiForums Tanzania China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  16. JamiiForums Tanzania Kujenga na kupanga ni vitu viwili tofauti, ACT Wazalendo mmewaaibisha wanachama wenu

    Ni AIBU kwa CHAMA kinachotafuta Ukubwa wa kuwa Chama Kikuu cha Upinzani licha ya kuwa SIO cha UPINZANI kuwahadaa Wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kuwa Kimejenga Jengo lake Wakati WAMEPANGA nyumba ya Mtu. Kama kwenye Jambo Dogo kama hili la Jengo wanadaganya Je Wakipewa Nchi Watadanganya...
  17. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto: Kama hatuwezi kujenga ofisi yetu wenyewe tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma?

    Hii ni kupigana midongo ya nguvu "Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?" 👇
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kujenga umoja wa kitaifa kunatugharimu kupoteza lugha zetu za makabila yetu. Nini kifanyike?

    Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa. Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…