Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Wadau habari zenu,

Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.

Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
 
Tatizo mnajenga kwa hela za mawazo kisa kuiga mtindo !! Fundi mzuri nyumba haivuji kamwe !
Anatakiwa atoe muda wa matazamio Basi. Sasa Kuna fundi gani wa ivyo Jenga kwa kampuni. Akikuwekea kigae kikasheki ukimwambia aje kurekebisha skills zake alikosea Mana mli tredi skills vs money,haji Tena anataka hela tena
 
Wadau habari zenu,

Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.

Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Tatizo watu wengi wanapenda Sana ujenzi horera, Yani unakuta mtu hatumii mtaalamu wa Raman au anachukua ramani za mtandaoni, na pia anajitafutia fundi na kuanza kujenga. Hayo yote ni kubana matumizi kweny ujenzi, bila kujua kuwa kweny ujenzi kadili unavyobana matumizi ndo hivyohivy unavyoongeza matumizi ya Hera hapo baadae bila kujua.

Kabla sijaendelea, naomba kusema hivi. Nyumba za kisasa zikivuja husiraumu aina ya nyumba, Bali jiraumu wew mwenyew kwa kushindwa kutafta wataalamu na mafundi wazuri na kufaata taratibu za ujenzi Bora . Kwa Nini? Kweny hatua ya uchoraji ramani , mtaalamu anabidi aje kweny eneo lako astudy climate ya eneo mostly rainfall/precipitation data, kutokana pia na kubwa wa roof ajue atatumia roof angel ipi na concrete gutter size ipi, na pia drainage pipe za diameter gani na ngap, haya yote architect or engineer ndo anahusika hapa, Sasa wengi haya yote wanamuachia fundi.

Baada ya kupata mtaalamu mzuri wa ramani, wew Kama mteja husitafte fundi, hapa Sasa ndo shida ilipo pia, utasikia client anasema Nina mjomba wangu ni fundi naomba mumuite huyo, jaman mambo ya professional hayaitaji undugu yanaitaji knowledge and experience.

Mwambie aliekucholea ramani akutaftie fundi, ikiwezekana wape kabisa waliokucholea ramani wakujengee zipo kampuni nyingi Tena zenye gharama nafuu watakusaidia, hii pia advantage yake endapo nyumba ikawa na tatizo unaweza kucrame na ukasaidiwa maana hizi kampuni zimesajiliwa.

Mwisho sitangazi biashara ila ukitaka watu wenye gharama nafuu na wapo vizuri kweny hizi nyumba za kisasa watafute Hawa jamaa wanajiita SIYAD gHOME.+255673242054. Watakusaidia.
 
Tatizo mnajenga kwa hela za mawazo kisa kuiga mtindo!! Fundi mzuri nyumba haivuji kamwe!
Utasikia wanasema ''FUNDI ANALIPWA 20,000 KUTWA'' Hivi wewe na akili Yako timamu umepata cent zako na unataka ujenge mahala pa kuishi wewe na familia miaka nenda rudi, Eti unatafuta cheap labour ndio akujengee..............
 
Wadau habari zenu,

Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.

Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Ubahiri wenu ndio unawaponza.

Mm nazijenga Sana na Wala hazivuji
 
Utasikia wanasema ''FUNDI ANALIPWA 20,000 KUTWA'' Hivi wewe na akili Yako timamu umepata cent zako na unataka ujenge mahala pa kuishi wewe na familia miaka nenda rudi, Eti unatafuta cheap labour ndio akujengee..............
Kwani nyie mnawalipa mafundi bei gani?
 
Wadau habari zenu,

Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.

Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Ukiwa masikini kila kitu kwako kitakuwa NI shida Tupu🥺
 
Kwani nyie mnawalipa mafundi bei gani?
Hizi kazi zetu za ujenzi, kadri unavyokua bahiri ndivyo unavyopunguza ubora wa hicho unachokijenga.

Fundi unaemlipa 20k kwa siku, lazima wewe uwe mtaalam wa ujenzi na ufanye usimamizi wa uhakika. Tofauti na hapo, tafuta fundi mzoefu, muuzie kazi yote then utegemee utaalam wake!

Wabongo mmegoma kutumia wataalam wa ujenzi, ila yakiwakuta huko malalamiko hayaishi. Haya mambo sisi tumekaa darasani miaka minne, tukafundishwa namna ya kudeal nayo. Usitegemee "fundi Maiko" akutolee kitu chenye ubora sawa na sisi!
 
Tatizo litakuwa kwa mafundi, hizi nyumba za bati lililojificha , ni syle ambayo imerudi tena, ilikuwepo miaka ya nyuma , na yumba zilikuwa hazivuji, ingawa zinahitaji ujuzi wa kutosha kwenye kuezeka. na kabla ya kufunga gypsum ina takiwa ijalibiwe kama inavuja kwa kumwagiwa maji ya kutosha juu ya bati
 
Wadau habari zenu,

Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta.

Nimeshuhudia wengi wakipata hasara kubwa na kuibuka kwa magomvi mengi kati ya mafundi na wenye nyumba. Kuweni makini, kama vipi jengeni za kawaida tu.
Mafundi vishoka wengi wamevamia hii fani ndio maana
 
Back
Top Bottom