kujenga nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kujenga nyumba ya makazi bila kibali ni kosa? Kwanini watu wengi hufanya hivyo bila kusumbuliwa?

    Wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kwa muda na naamini kuna watu humu wanaweza kuwa na uzoefu au uelewa mzuri wa sheria za ujenzi Tanzania. Je, mtu anayejenga nyumba yake ya makazi kwenye kiwanja chake anatakiwa kuwa na kibali cha ujenzi kabla ya kuanza kujenga? Kwa sababu ukienda mikoani...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  4. JamiiForums Tanzania Maboss wetu makazini, watunga sera na wadau wengine, mna nafasi kubwa ya kutuokoa sisi watumishi tusisitafie kwenye nyumba za serikali

    Mimi leo ndo napata majibu ya kwanini zamani tulikuwa tunaona watu wana-staff hawana nyumba Wala kiwanja licha ya kuwa walikuwa na vyeo vikubwa sana serikalin/private sectors. Baadhi ya Sababu za mtu kushindwa kujenga kipindi cha utumishi ni: • kuwa na boss asiyeamini kwenye uwekezaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

    Salaam waungwana, Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza kujenga chumba, sebule, jiko dogo na choo? kiwanja kipo tayari maeneo ya Mkuranga, hili jambo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  7. U

    JamiiForums Tanzania PPPTZ: TBA Yatangaza Fursa za Uwekezaji wa Ubia (PPP) katika Viwanja vya Serikali Nchini, Mnaotaka kujenga nyumba za biashara changamkeni

    Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetangaza rasmi fursa za uwekezaji kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), kwa kualika wawekezaji wenye uwezo, uzoefu na sifa stahiki kuwasilisha Expression of Interest (EOI) kwa ajili ya kuendeleza viwanja mbalimbali vya Serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  9. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  10. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  11. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  12. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Wakuu hbr za majukumu, Nina milioni 50, nataka ninunue kiwanja milionin 15, afu milion 30, nijenge nyumba vyumba vitatu, Vipi wadau ntatoboa kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

    Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  16. JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  17. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kabla sijavuka 35 ila naona matumaini haya yakididimia kwa spidi ilioezeleka. Usawa huu ni mgumu kupindukia

    Kama una nafasi inayokupa manufaa mazuri sanaa, aisee shikilia kwa unyenyekevu, uvumilivu na uangalifu. Maam upande wa pili joto ni kali sanaa
  18. JamiiForums Tanzania Kuna feeling flani amazing ukifanikiwa kujenga nyumba yako ya kwanza kabla haujavuka 35. MUNGU AZIDI KUWAVUSHA WOTE!

    Sawa umri ni namba ila muda tunauhesabu kwa namba.
  19. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia ukitaka kujenga nyumba ya kupangisha

    VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUJENGA NYUMBA YA KUPANGISHA. 1. Angalia aina ya watu unaohitaji kuwapangisha Kuna matabaka matano (05) ambayo ni kama IFUATAVYO:- a). Wanachuo, Vijana walio single wenye kipato Cha uhakika Chumba self Chenye choo Kwa Ndani. b). Wanafunzi na Watu wa Uswahilini...
  20. JamiiForums Tanzania Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…