kujenga nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

    Hapa Tanzania watu wengi huchukulia kujenga na kumiliki nyumba ni hatua kubwa ya mafanikio katika miasha. Wafanyakazi wengi hukopa na kuishi na madeni ya viwanja na nyumba maisha yao yote ili tu wasikae katika nyumba za kupanga. Pia wafanyakazi wengi wako tayari wasiwe na chanzo kingine...
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

    wakuu natumai hamjambo! Kama jinsi ilivyoada, kila mtu anatamani kuwa na mahali pake binafsi pa kuishi yeye na family yake, ingawa kwa upande mmoja kwa baadhi ya watu hili suala si changamoto kwao kwa sababu ya uzoefu ama mfuko umekaa njema kiuchumi, lakini kwa upande mwingine kwa watu aina...
  3. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Nilivyosave Milioni 10 kwa miezi 6 na kujenga nyumba mbili na kununua gari zuri

    Wakuu salaam, Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani.. 1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini pamoja na benki wakati wa kutoa 2. Tulishusha maisha tukawa tunaishi nyumba ya kupanga ya chumba...
  4. Ngwanakilala

    JamiiForums Tanzania Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Waheshimiwa Kuna jambo moja ambalo watu wengi wamekua wanalikosea bila kujua. Kwa maoni yangu ni muhimu kuelewa tofauti kati ya business na investments. Ni muhimu kuzingatia suala la return on investment au Retun on Asset wakati wowote unapofanya investment au biashara. Usipozingatia haya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

    Wanajamvi nahitaji ushauri, Nimedunduliza nakaribia kuvunja kibubu cha ujenzi wa nyumba. Nimeshachorewa ramani na makadirio ya gharama. Leo kwa shauku kubwa nimemuonyesha ramani boss wangu akanishangaa kwanini nimechora ramani yenye paa la gharama kubwa namna hiyoo_O akaniambia flat roo...
Back
Top Bottom