kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
  2. Dola Bilioni 1.9 Kuimarisha Gridi ya Taifa Nchini

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne. Makamba amesema hayo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2022/2023 kwa...
  3. Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  4. TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  5. R

    NI kwamba moja ya malengo yaliyoainishwa kwenye ilani ya CCM ni pamoja na kuimarisha mazingira ya KUBET?

    Awali nilimpongeza Sana Katibu WA CCM alivyopiga marufuku kubeti. Contrary; nimesikitika kusikia kubeti IPO kwenye ilani ya chama cha mapinduzi. Je, ni kweli ilani hiyo inatengeneza wataalamu WA kubeti au ni propaganda? Kama ilani inasimamia kubeti, je Katibu Mkuu kukemea nikupingana na ilani...
  6. Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  7. K

    Mpango wa Rais Samia kuimarisha huduma za kibingwa bobezi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza Rufaa za nje ya nchi. Mpango...
  8. Kisa cha Nabii Mzee na Nabii Kijana jinsi kinavyoweza kuimarisha Imani yako

    KISA CHA NABII MZEE NA NABII KIJANA JINSI KINAVYOWEZA KUIMARISHA IMANI YAKO Na Shemasi Jimmy 0659611 252 Awali ya yote nawasalimu kwa Jina kuu kupita majina yote; Bwana Yesu apewe sifa. Ungana nami shemasi wako katika simulizi hii nzuri inayopatikana katika kitabu cha 1fal 13:1-34, huku...
  9. T

    Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  10. Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  11. J

    Serikali kuimarisha Usalama wa Huduma Mtandao

    SERIKALI KUIMARISHA USALAMA WA HUDUMA MTANDAO Na Faraja Mpina, WHMTH, DAR ES SALAAM SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inaendelea kuhakikisha inaimarisha usalama wa huduma zinazotolewa kwa njia ya mtandao ikiwa ni pamoja na biashara mtandao ili wananchi...
  12. Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  13. Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  14. Uzinduzi wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi, Septemba 19, 2022

    Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi. Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
  15. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA. Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
  16. Tumia Logical Framework kuimarisha andiko lako la Mradi

    Bao la Mantiki (Logic Framework) ni jedwali ambalo huonyesha uhusiano kati ya Lengo Kubwa la Mradi (Project Overall Objective), Malengo Mahsusi ya Mradi (Project Specific Objectives), Matokeo ya Mradi (Project Outputs) na Shughuli za Mradi (Project Activities) ili kuleta mtiririko wenye mantiki...
  17. J

    Kinana atua Kigoma katika ziara ya kuimarisha chama

    CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani...
  18. M

    Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  19. Huduma ya Intaneti Inakuza Uchumi wa Nchi na Kuimarisha Ustawi wa Watu

    Intaneti imefungua ulimwengu mpya kwa watu wengi duniani kote. Fursa nyingi zinapatikana hapa. Teknolojia hii inatoa fursa ya watu kuboresha maisha yao kwa kuwapa ajira na kurahisisha shughuli zao binafsi ikiwemo za kibiashara. Intaneti inafungua ufikiaji wa vitu vilivyokuwa si rahisi kufikiwa...
  20. M

    Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…