kuhutubia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jiwe angavu

    PostGE2025 Ulipaswa kuhutubia wahusika(Gen-Z)

    Wrong audience. Hao wazee wamejichokea wamebaki kulea wajukuu na vitukuu hawana mawazo mapya. Watatoka hapo wakikusifu mana hawajui walijualo wanasubiri tu ile pekeji yako wakanywe kahawa. Hao wazee ni wazee wa sisiem hawana jipya. Tafakari.
  2. suhelmadyan

    PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  4. President of China

    LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  5. PAYE

    Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  6. evangelical

    Kanisa Katoliki limepiga Marufuku Viongozi wa Serikali/Wanasiasa kuhutubia/kusimama mbele ya madhabahu na kutoa neno

    Kanisa Katoliki latoa tangazo la kuzuia wanasiasa kuhutubia makanisani.
  7. Waufukweni

    TANZIA Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano wa ziara ya CCM

    Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa...
  8. Yoda

    Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

    Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari. Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
  9. S

    Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

    Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
  10. Ikaria

    Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  11. Erythrocyte

    Freeman Mbowe kuhutubia IDU Forum Mwezi April 2024

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani hivi sasa Hili hapa ndio Tangazo la IDU ---- The IDU is pleased that Freeman Mbowe, CHADEMA Party Leader will join us at the #IDUForum2024 Asia-Pacific in #NewZealand. Our support for democratic and free states does continue in any corner of the world!
  12. Erythrocyte

    Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  13. Erythrocyte

    Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA...
  14. M

    CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

    Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu. Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko...
  15. F

    Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

    Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki. Lakini hii yaweza kumaanisha...
  16. MK254

    Hofu yatanda mji mkuu wa Moscow, Urusi huku rais akisuburiwa kuhutubia

    Tangu hivi majuzi ambapo Ukraine walionyesha uwezo wa kupitisha pitisha drones kwenye ikulu ya Urusi, imedhihirika hamna popote salama nchini Urusi ambapo Ukraine hawawezi kufikisha mapigo, na Warusi wengi hawajui nini kimepangwa kutokea siku rais atahutubia taifa. Urusi imekataza drones za...
  17. BARD AI

    Rais Ruto kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
  18. GENTAMYCINE

    Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

    1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela 3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba 4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah 5. Hayati Rais Benjamin Mkapa 6...
  19. The Sheriff

    Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  20. M

    Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

    Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika. Alikubaliwa...
Back
Top Bottom