kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu biashara ya nyumba (AirBnB)

    Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre. Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
  2. JamiiForums Tanzania Wito: Mdahalo uitishwe baina ya Lissu na viongozi wa CCM kuhusu hoja ya 'ubaguzi wa kimuungano'

    Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika yenye kuathiri mustakabali wa maisha ya watanganyika moja kwa moja. Lissu ametoa hoja zake akijificha...
  3. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

    Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa website ya unitedrepublicoftanzania anapotosha kuhusu Kabila la Wabena au jamii ya wabena?? Tutake radhi

    Wabena ni kabila la watu wenye akili sana wanaopatikana tanzania mkoani njombe. Idadi yao ni takribani milion 1 na kitu…..(makadirio) pia kabila hili linapatikana mikoa jirani kama morogoro ,Iringa ,Ruvuma. LAKINI PIA AFRICA NCHINI ETHIOPIA Kuna kabila linajiita Bena (Bannaa) wanaishi katika...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  11. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro: Boniface Jacob na Malisa hawakingwi na Sheria

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za uongo, huku wakidai walindwe. Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo leo Aprili 28, 2024 alipotoa elimu kwa umma akijibu kilichoelezwa na Meya wa zamani wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  14. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani? Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
  15. JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Boniface na Malissa: CHADEMA yatoa neno

    Ujumbe wao huu hapa Pia soma!
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya kuhusu Boniface Jackob na Malissa hii hapa

    Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa yaipuuza Israel kuhusu UNRWA

    Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Bakari Msuya TBC 1 na David Mayunga TBC Taifa Walipofika Maktaba Kunihoji Kuhusu Muungano

    TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwekeze kwenye ujenzi wa barabara za kiwango cha lami

    Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini. Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake. Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…